Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

U-selfishness ni muhimu sana..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] it's a man's nature, hiyo ipo kwenye DNA zetu. Hatutakagi kabisa kuibiwa, ila sie tunaiba... Na kama tukiibiwa halafu tukajua basi inakuwa ni vita vita kweli!
Kwani mlisikia hii dunia ya kwenu peke yenu[emoji1787].....muosha huoshwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nitakuwa nimekosea nikisema hyo ni dalili yakuwa psycho[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
hujakosea, everybody is psychopathic in their own ways. Nobody has ever achieved 100% sanitation in their mental health (brain). Tunatofautiana tu u-pyscho ila wote duniani ni ma-pyscho na chembechembe za u psycho watu wote tunazo πŸ•΅πŸ½β€β™‚οΈ
 
ndo hivyo tunapojua huwa tunalitibua haswa na hata Bomu (grenade) tunalipua ikibidi[emoji3][emoji3] Yaani hatutaki na hatupendagi kabisa mali yetu iliwe hata kuonjwa tu hatutaki[emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku mkijua Cha peke yako kaburi msingejisumbua
 
Wanaume mumezidi Sana kwanza maishani kuumizwa ni Mara moja tu basi
 
for me age is just a number...so sojali sanaaa nachoangalia ni upendo ..heshima...makubaliano na affection niliyokuwa nayo kwa mtu......naamini katika wanawake waliokuwa na umri mkubwa coz wanajua mengi na wamepitia mengi.......

mapenzi hayaangalii umri.......................................................that is just a number..........

povu ruska
 
Mkuu, Umesoma heading tu, hujasoma content. Pitia content kwanza ya alichoandika mtoa mada. Na wengi waliocomment wamejikuta wanatiririka tofauti na mada. Mwanzo pale Pitia meseji ya mtoa mada kwanza. Acha kucomment based on heading tu.
 
Wanaume mumezidi Sana kwanza maishani kuumizwa ni Mara moja tu basi
Baby Cariha jamani tuliza munkari baby., Njoo kwanza nikuhug πŸ€— Tumeshakubaliana mimi na wewe ni NO STRINGS ATTACHED... No commitment pia, mie nawe tunakula maisha na kuenjoy starehe pamoja Money, Power & Sex!! Au sio Baby!? Bad boy & Bad girl
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ninaye baby wakula maisha
 
Mkuu, Umesoma heading tu, hujasoma content. Pitia content kwanza ya alichoandika mtoa mada. Na wengi waliocomment wamejikuta wanatiririka tofauti na mada. Pia meseji ya mtoa mada kwanza. Acha kucomment based on heading tu.

hayo ni maoni yangu....na kuhusu kuwa au kutokuwa kwenye mada ..pengine urudie kusoma kile kiliandikwa halafu ndo uje usome comment yangu...huo ni msimamo wangu ...so kuwa mpole wewe so msahihishaji wa comment za watu....we fanya kusoma kama inakukera sonya kimya kimya siyo lazima ukoment kwenye kila maoni yanayotolewa na watu....
 
Bhaaasi Mkuu!! I want no trouble. Hiyo michambo nimekomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸΎ
 
Kuna kaukweli ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…