Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

U-selfishness ni muhimu sana..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] it's a man's nature, hiyo ipo kwenye DNA zetu. Hatutakagi kabisa kuibiwa, ila sie tunaiba... Na kama tukiibiwa halafu tukajua basi inakuwa ni vita vita kweli!
Kwani mlisikia hii dunia ya kwenu peke yenu[emoji1787].....muosha huoshwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nitakuwa nimekosea nikisema hyo ni dalili yakuwa psycho[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
hujakosea, everybody is psychopathic in their own ways. Nobody has ever achieved 100% sanitation in their mental health (brain). Tunatofautiana tu u-pyscho ila wote duniani ni ma-pyscho na chembechembe za u psycho watu wote tunazo 🕵🏽‍♂️
 
ndo hivyo tunapojua huwa tunalitibua haswa na hata Bomu (grenade) tunalipua ikibidi[emoji3][emoji3] Yaani hatutaki na hatupendagi kabisa mali yetu iliwe hata kuonjwa tu hatutaki[emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku mkijua Cha peke yako kaburi msingejisumbua
 
Bana kulalamika tunalalamika wote (wanaume kwa wanawake).
Kwenye relationship wote pia tunapenda ile sense of ownership, to feel this person is mine, not for sharing! Hasa pale unapokuwa katika relationship ambayo unaexpect iwe ni life time.
Na ikitokea ikazingua basi wote huwa tunalalamika na inaumiza Hisia (wanaume kwa wanawake). its normal!!
Wanaume mumezidi Sana kwanza maishani kuumizwa ni Mara moja tu basi
 
for me age is just a number...so sojali sanaaa nachoangalia ni upendo ..heshima...makubaliano na affection niliyokuwa nayo kwa mtu......naamini katika wanawake waliokuwa na umri mkubwa coz wanajua mengi na wamepitia mengi.......

mapenzi hayaangalii umri.......................................................that is just a number..........

povu ruska
 
for me age is just a number...so sojali sanaaa nachoangalia ni upendo ..heshima...makubaliano na affection niliyokuwa nayo kwa mtu......naamini katika wanawake waliokuwa na umri mkubwa coz wanajua mengi na wamepitia mengi.......

mapenzi hayaangalii umri.......................................................that is just a number..........

povu ruska
Mkuu, Umesoma heading tu, hujasoma content. Pitia content kwanza ya alichoandika mtoa mada. Na wengi waliocomment wamejikuta wanatiririka tofauti na mada. Mwanzo pale Pitia meseji ya mtoa mada kwanza. Acha kucomment based on heading tu.
 
Wanaume mumezidi Sana kwanza maishani kuumizwa ni Mara moja tu basi
Baby Cariha jamani tuliza munkari baby., Njoo kwanza nikuhug 🤗 Tumeshakubaliana mimi na wewe ni NO STRINGS ATTACHED... No commitment pia, mie nawe tunakula maisha na kuenjoy starehe pamoja Money, Power & Sex!! Au sio Baby!? Bad boy & Bad girl
 
Baby Cariha jamani tuliza munkari baby., Njoo kwanza nikuhug [emoji7][emoji847] Tumeshakubaliana mimi na wewe ni NO STRINGS ATTACHED... No commitment pia, mie nawe tunakula maisha na kuenjoy starehe pamoja Money, Power & Sex!! Au sio Baby!? [emoji7][emoji7] Bad boy & Bad girl
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ninaye baby wakula maisha
 
Mkuu, Umesoma heading tu, hujasoma content. Pitia content kwanza ya alichoandika mtoa mada. Na wengi waliocomment wamejikuta wanatiririka tofauti na mada. Pia meseji ya mtoa mada kwanza. Acha kucomment based on heading tu.

hayo ni maoni yangu....na kuhusu kuwa au kutokuwa kwenye mada ..pengine urudie kusoma kile kiliandikwa halafu ndo uje usome comment yangu...huo ni msimamo wangu ...so kuwa mpole wewe so msahihishaji wa comment za watu....we fanya kusoma kama inakukera sonya kimya kimya siyo lazima ukoment kwenye kila maoni yanayotolewa na watu....
 
hayo ni maoni yangu....na kuhusu kuwa au kutokuwa kwenye mada ..pengine urudie kusoma kile kiliandikwa halafu ndo uje usome comment yangu...huo ni msimamo wangu ...so kuwa mpole wewe so msahihishaji wa comment za watu....we fanya kusoma kama inakukera sonya kimya kimya siyo lazima ukoment kwenye kila maoni yanayotolewa na watu....
Bhaaasi Mkuu!! I want no trouble. Hiyo michambo nimekoma😂😂😂😂 🙌🏾
 
Kuna kaukweli ndani yake
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.

Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa sana. Kina mpa heshima katika jamii. Mwanamke anaye fika hadi umri wa miaka 30 bila ya kuolewa anaonekana kama alikuwa anauchezea ujana wake kwa kubadilisha wanaume. Ambao kwa namna moja au nyengine ina ukweli fulani.

Ushauri kwa vijana wenzangu tuwe makini sana kudate na hawa wanawake. Kama kweli umempenda kwa dhati basi vizuri lakini kama unapita tu bora umwambie ukweli. Wanawake wa rika hili wana kiu ya ndoa na kupata mtoto kwa hali ya juu.

Sisemi kwamba mwanamke anaye kuwa na 27+ kisa haja olewa ni mbaya hapana. Tena wengi wao wanakuwa ni watoto wa kishua, wanapesa zao na elimu zao. Swali linakuja nani ATAMFUNGA PAKA KENGELE. Maana itakuwa kama wewe ndo unaolewa sasa.

Ukidate na mwanamke wa umri wa 27+ kuwa makini haswa kama kwenu mko vizuri, hapo naongelea mwanamke kama anatokea familia ya chini au kawaida. Kama hutamzawadia mimba basi ndoa. Jipange kwa hayo mawili. Ukisema una test kama wamo au hawamo jua fika unajitafutia matatizo.

Kama hauko tayari kuingia kwenye ndoa au kupata mtoto kaa mbali na wanawake wenye umri unaokaribia 30. Utanishukuru baadae.
 
Back
Top Bottom