Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Mungu ameshindwa kuwaridhisha sisi wanaume tutaweza kweli?na sio kwamba hatuna uwezo wa kuwaridhisha ila wanaune tunajirishisha kwanza kisha tunaachia matango yawakojoleshe hakuna kuhangaika kumridhisha mwanamke halafu uanze kumhonga tena.
 
Kati ya wakongwe wote wanawake nahisi umebaki wewe.
Huwa unaandika reality and you are real you.
Wengi huwa wanaigiza ndio maana walishabadili hata ID zao.
Nakukubali na huwa napenda kusoma ulichoandika.!
 
Hakuna anayechukia umri mkubwa bila sababu za msingi.
1. Fikiria uzazi wa mpango unavyoelekeza. Ukianza familia na mwanamke wa 30+ na ukatoa nafasi inavyotakiwa huwezi pata watoto zaidi ya 3 kabla kisima hakijakauka.
2. Kitibabu ( na ushahidi upo), mwanamke anavyochelewa KUANZA kuzaa ana uwekano mkubwa wa kupata matatizo ya uzazi ikianza na uvimbe kwenye mfuko wa uzazi nk. Hata kliniki wanawake wa umri huo hawatakiwi kujifungulia kwenye zshanati na vituo vya afya... wanahesabika... hatariii...
3. Wanachakaa haraka. Mwangalie mwanamke alianza na kumaliza uzazi mapema na aliyechelewa kuanza. Ni watu wawili tofauti kabisa. Moja kijana na shepu ipo na mwingine kachakaa dura na mwili.
4. Hili ni kwa wanaume. Hebu jiulize. Kama unataka ukiwa na mwanao wa mwisho awe na say miaka 20 wakati ukifikisha miaka 55 unakiwa umzae ukiwa na miaka mingapi? Itakuwa 35. Kama unatakiwa umzae last born wako na miaka 35 swali ni je? Unatakiwa uoe na kuanza familia ukiwa na miaka mingapi? Na say uwe na wstoto 4? Walioachana ( say ) miaka 3? Utaona mwanamke wa 30+ hana nafasi kwenye maisha ya kijana serias aliyejipanga. Maana utaoa dadako mkubwa [emoji2][emoji2]
5. Hakuna sababu ya msingi maana wawake wanamaliza vyuo na umri mdogo... why wait up 30+...Naunga mkono hoja... haina sababu kabisaaa.
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…