Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Sidhani kama hoja ya umri ina matter sana. Tabia za mtu na kuwa na umri mdogo au mkubwa si hoja ya msingi. Maana tunajionea wazi, watoto wa miaka 18 ni watu wazima kuliko wazazi wao. Yaani mtu kapitia mambo ambayo hata mzazi wake hajapitia.
Dunia ya sasa imebadilika. Ukipata mtu mwenye tabia njema, akiwa na miaka 23 au 30, mshukuru Mungu sana.
Wenye miaka iliyoenda wengi wanaona upuuzi kupoteza muda kwa kufanya mambo ya kijinga wakati watoto wanaona bado wana muda mwingi wa kuchezea na vice versa.
Pia ndoa za siku hizi wadada wengi wamepoteza interest sana. Na hii ni baadhi ya wanaojielewa na wanatazama future.
Kiukweli kwa maisha ya sasa, 23 bado anasoma. Akiacha kazi akimbilie kuolewa, je wanaume mna ubavu wa kumkubali kumuhudumia kwa kila hitaji lake? Najua ni wachache sana.
Wengi watamuona binti hana akili, ni mtu asiye na future, hana msaada hata inapotokea tatizo na dharau nyingi tu.
Mwisho mdada ataona ndoa chungu. Ila hatokuwa na pa kukimbilia. Atakuwa mtumwa maisha yake yote.
Tuacheni tujijenge jamani. Ndoa kama ipo ipo tu. Ukiwa na 20 au 50, its does not matter. What matters ni kufika malengo yako uliyojiwekea.
Kama malengo ni ndoa, go for it, kama ni kutengeneza kampuni do it, kama ni kusoma fanya hivyo.
Deep sana hii
 
Wanawake wabaya mnakuwa na high expectations kwenye mahusiano Wewe ni wakutoa terms kwenye mahusiano? Hii comment yako inaonyesha you’re such a hoe...
Hahaaa nitatoa terms bilions moja so don't worry kabisa na ubaya wangu wa ngiri hilo nimeshasikia still commenting ur expectation has failed pole Sana eeh
 
Yani huachi tu kunitukana mlifikiri nitachange I'd poleni Sana, hafu acha kunitukana jiheshimu na mind ur bussiness

Kuna watu mwanamke anayejiamini ni nightmares kwao......it goes wayyyy back to their families, they have witnessed their mom being abused physically and Psychologically..so they have these insecurities that they carry with them, that a woman is this submissive being...if a woman challenge them a little, they are ready to attack...POLE ZENU WANAUME WA HUMU MSIOJIELEWA
 
Me pole tena??
Ushauri tu sio kwa ubaya fanya anzisha familia umri unakutupa. Nisije kupost papa yako ukose hata mme mtandaoni.
Hahaaa unfortunately sipigaji picha za utupu usijitaftie sifa kwa jf stay away from me eeeh
 
Kuna watu mwanamke anayejiamini ni nightmares kwao......it goes wayyyy back to their families, they have witnessed their mom being abused physically and Psychologically..so they have these insecurities that they carry with them, that a woman is this submissive being...if a woman challenge them a little, they are ready to attack...POLE ZENU WANAUME WA HUMU MSIOJIELEWA
Sure wengine kujitaftia sifa tu humu wanafikiria Kuna jipya gani sijui lililo Baki, kwa kweli msimamo wangu uko pale kuandika ninachoamini.
 
Kwani ulijua picha yako ipo?? Hadi unasema grandmother [emoji23][emoji23][emoji23] see unajifanya strong afu unajikataaa aiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa ur so hurt ur expectation wasn't met, dah Mimi nitaendelea kudunda tu humu
 
Nahisi huyo Didy ni mdada mkuu....
Ndio na anahisi sijui natoka na mtu wake and I know them very well, she is wasting her precious time na huyo mtu wake kwa kweli, alifikiri nitatoka JF I once quarrel with her kwa Uzi mmoja hivi tena alianza yaye na hata I'd nyingine yake iko hivo hivo
 
Back
Top Bottom