Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Mbona unakimbilia kwa moderator ukiona vita inakuzidi nguvu?!

Are u chickening out......?!

Butter fingers
I'm not I'm here to stay sorry ur expectation wasn't met actually so don't stress to that extent do you think vile hoja nitakimbilia ku post Mambo personal yako I will never do that I'm matured woman, so let keep arguing
 
Kuna watu mwanamke anayejiamini ni nightmares kwao......it goes wayyyy back to their families, they have witnessed their mom being abused physically and Psychologically..so they have these insecurities that they carry with them, that a woman is this submissive being...if a woman challenge them a little, they are ready to attack...POLE ZENU WANAUME WA HUMU MSIOJIELEWA
Correction. Kuna big difference between a strong woman and a confused or narcissist female.

Sasa sijajua wewe umepitia which school of thought hadi hapo.

Sisi wanaume tupo very irritated na mwanamke mjeuri sio mwanamke strong so usichanganye hayo mambo mawili. In fact tunavutiwa na wanawake strong. Definition ya strong inategemea na context unazungumzia....
Mfano unaweza sema ceiling board ya ujerumani ni imara kuliko ya china but ukichukua ceiling board ukawaka na chuma ni two different things kucompare maana chuma ni element tofauti na cardboard materials.

Sasa unaposema kuwa mwanamke kuwa strong ni kuwa mjeuri, kubishana na wanaume, kutaka kushindana, kuleta ngebe, kutafuta shari then utie strong hiyo kwetu wanaume ni big no sababu sio values za mwanamke strong, mwanamke strong ni yule anaesikilizana na mwanaume wake, anamshauri, anamfariji, ana play part ya mama kwa watoto na hata kwa mumewe, anajitoa kwaajiri ya mume na watoto wake, anajua nafasi yake kama mwanamke na anajua tofauti yake na mwanaume, hizi ni sifa chache tu.....

Tukirudi kwa huyo kiumbe anaefanania na mwanamke kimaumbile, huyu ana shida in most areas hayupo qualified kuwa mwanamke in a social context ni chombo tu cha starehe then basi.

Kama naongea uongo hapa utakuja nambia huyu maisha yake atapoishia..... Lonely, miserable, depressed wit issues
 
Kwani nimeongea mengi??? next time mwanamke anakuwa bashed najua utakuwepo!!! sad, very sad individual.....
 
Mark this ID, next time mwanamke akianza attacked na watoto wa humu,itakuwepo!!!!, talking about toxic person?!?
Ndio hzo huanza na single mother wakitoka hapo lawama kwa wanawake then wanahamia kwingine with different I'd
 
Sure wengine kujitaftia sifa tu humu wanafikiria Kuna jipya gani sijui lililo Baki, kwa kweli msimamo wangu uko pale kuandika ninachoamini.
Sisi hatuna shida na misimamo yako na ndio maana hapa pakaitwa JF sehemu ya kukinzana hoja na kushare ufahamu..... But wewe ukweli ni kuwa unamatatizo..... Sasa sisi tunapambana na matatizo yako.

Kwani unadhani wanawake wote hapa sisi huwa wanakubali hoja zetu, but kunatifauti ya namna wanajibu hoja zao.....

Mimi nina wasiwasi hata ulipo unapata shida kublend in na jinsia ya kiume.... Mwanaume anaeendana na wewe atakuwa hajakamilika....

Mimi ukae eneo moja na mimi aaaah nikikuvumilia ni dakika 5, ya sita utachezea kofi la fasta.....
 
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.

Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa sana. Kina mpa heshima katika jamii. Mwanamke anaye fika hadi umri wa miaka 30 bila ya kuolewa anaonekana kama alikuwa anauchezea ujana wake kwa kubadilisha wanaume. Ambao kwa namna moja au nyengine ina ukweli fulani.

Ushauri kwa vijana wenzangu tuwe makini sana kudate na hawa wanawake. Kama kweli umempenda kwa dhati basi vizuri lakini kama unapita tu bora umwambie ukweli. Wanawake wa rika hili wana kiu ya ndoa na kupata mtoto kwa hali ya juu.

Sisemi kwamba mwanamke anaye kuwa na 27+ kisa haja olewa ni mbaya hapana. Tena wengi wao wanakuwa ni watoto wa kishua, wanapesa zao na elimu zao. Swali linakuja nani ATAMFUNGA PAKA KENGELE. Maana itakuwa kama wewe ndo unaolewa sasa.

Ukidate na mwanamke wa umri wa 27+ kuwa makini haswa kama kwenu mko vizuri, hapo naongelea mwanamke kama anatokea familia ya chini au kawaida. Kama hutamzawadia mimba basi ndoa. Jipange kwa hayo mawili. Ukisema una test kama wamo au hawamo jua fika unajitafutia matatizo.

Kama hauko tayari kuingia kwenye ndoa au kupata mtoto kaa mbali na wanawake wenye umri unaokaribia 30. Utanishukuru baadae.
Nawashangaa wanaohangaika kudanganya ili kumpata dem. Mi sidanganyi na bado naopoa pisi za maana sana.
Ngoja niweke picha zao hapa.
 
Sisi hatuna shida na misimamo yako na ndio maana hapa pakaitwa JF sehemu ya kukinzana hoja na kushare ufahamu..... But wewe ukweli ni kuwa unamatatizo..... Sasa sisi tunapambana na matatizo yako.

Kwani unadhani wanawake wote hapa sisi huwa wanakubali hoja zetu, but kunatifauti ya namna wanajibu hoja zao.....

Mimi nina wasiwasi hata ulipo unapata shida kublend in na jinsia ya kiume.... Mwanaume anaeendana na wewe atakuwa hajakamilika....

Mimi ukae eneo moja na mimi aaaah nikikuvumilia ni dakika 5, ya sita utachezea kofi la fasta.....
Bandiko refa with no content kabisa loh, ngoja nilale kesho tutaendeleza mjadala
 
Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
Na kama wewe utakuwa-27 haki nahama jamiiforums
 
Pia kaa mbali na mwanamke ambae aliolewa kisha akaachana na mmewe, tena awe kwenye 30-45.

Usicheze kabisa na hisia zake, akikupenda amekupenda kweli.

Ndoa ni kitu kingine kabisa kwa hii jinsia aiseee.
Wanakuwaga na hasira hao sababu wanahisi kutendwa kama mwanzo
 
Back
Top Bottom