haupo kwenye mahusiano..hakuna mwanamke anayejielewa akakubali kuwa na long term relationship na mwanaume aliye na low opinion about women, NO....sijui unamdanganya nani uko ndoani...hihiii..eti anniversary...hilo litabaki kichwani mwako..in real life it will never happen...kama ulivyomtabiria mwenzako ubaya, na mimi nakutabiria utakufa sad,lonely man!...seems so bitter kwa mwanamke you never met,yuko huku online unamtukana matusi makubwa, huyo ambae unataka awe mkeo ndio atavumilia huu upuuzi...???..Again no, sio mwanamke...hajaumbwa bado,lol