Wanaume tuwe wasafi jamani!

kweli bwana!!

hawa watu bwana wanaona wako wasafi wakati ni wachafu wa kutupwa...imagine kuna siku moja nilikutana na demu flani pale mabibo hostel katika pitapita zangu...yule demu bwana sikujua kama ana fungus sehemu nyetu...nilishangaa sana zilikuwa zinatoa harufu mbaya sana sasa nikashindwa kuelewa kama ni mwanamke kweli ama, halafu alikuwa anatoa harufu mdomoni pia.
suala la usafi bwana ni kwa wote sio wanaume wala wanawake na kama ni uchafu kuna wanaume wachafu na wanawake wachafu pia.
 
Lakini sisi wanaume tumezidi bwana!!
 

Rose1980 punguza mimeseji kwenye inbox yako. kuna mambo ukitumiwa kwa PM hayaingii coz nafasi kwenye inbox yako imejaa. Futa za zamani, au ndo kusema unarudia rudia meseji zako za vibuti?
 




Eeeeeeeeeeeeh? we noma kama ni mwalimu aanze na (a e i o u)
 


hili nalo neno inaudhi hiyo we acha tu,halafu wanapenda kuegemea hao.
 
Duh jamaa kaamua kutuanika hapa. Ngoja nikanunue sox mpya aise maana ya kwangu imetoboka kidole gumba
Halafu boxer nazo zina wiki hazijafuliwa



Bora umekubali matokeo kaka kuna wengine wanabisha.Uungwana ni vitendo.
 
Yaani unapenga kamasi na kujifuta jasho halafu unaweka kitambaa mfukoni?
Thats nasty.
 
Kuna wengine hata chupi wanavaa zimetoboka ati
Soksi zenye uvundo akkingia nazo ndani mwako; siku hiyo no mbu kuingia ndani
kama una mtoto mchanga, pumzi kwake ni mgogoro aise
kwa kweli kwangu nakutoa baluuuuuuu


Wewe ni mkali ........
kama ni mtu wako muelimishe tu, duh kumtimua noma cz akifikiria kilichomfanya mpaka afukuzwe ni uchafu atajisikia vibaya.
 
kuwa Mstaarabu japo kidogo. Kwani unadhani mimi mwanamke?? Mimi mwenyewe hapa maskani nimeshaanza kampeni ya wanaume kuwa wasafi na tunapambana na wote wanaofikiri kwamba usafi ni usharobaro.
wanaume wengine huwa wanuka hadi ch...........hilo sijaliona kwenye listi
 

Haaaaaa Kwani uongo hamfutuhi lol
 


Nini kujiita UDUME wenyewe wanajiiita WAGUMU,Minashangaa ugumu ndo kuwa mchafu.....hebu jirekebisheni bwana.
 
Hapo namba kuhusu kuchokonoa pua. Dah! Huwa najisahau kbs, no way naanza kufanyia kaz leo.
 


Ushasema fangasi inamaana anumwa,
tunazungumzia wazima na uzima wao,whyyyyyyyyyyyyyyyyy?
 

ina mana niende na mswaki BAR???

Hapana, ukifika home kabla ya kulala brush basi. Kila siku mnalalamika wake zenu hawawapi cha alfajiri; sasa utamkiss vipi kwa domo lililochacha na mibeer na mikachumbari!

Wanawake wako sensitive sana na harufu!
 
hahahahahahahahahaha!thats true kabisa jamani!hao hata kwetu wapo!wengine wananuka BOXA. hahahaha
 





Umeambiwa baadhi sio wote
kwa hiyo kama haikuhusu wewe wengine inawahusu hili ni soma tosha tu,
Hapa tuna elimishana nadhani ndio maana wa hili jukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…