Wanaume tuwe wasafi jamani!

Wanaume tuwe wasafi jamani!

Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.

2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe

unataka ameze???
sijakusoma hapo mkuu, nini kazi ya sink????
 
...9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu......

Aisee hiii huwa inanikera, halafu ukizingatia ni ngumu kweli kumwambia mdomo wake unatoa harufu mbaya!
 
wengine wakila nyama wana Floss lakini pia siyo lazima uwe na Tongue Scraper lakini angala kwa kiwango cha chini uwe unafanya usafi wa kinywa chako. Sasa fikiria mtu siku mbili haapigi mswaki.

mswaki siku ukitaka denda tu,
 
Aisee hiii huwa inanikera, halafu ukizingatia ni ngumu kweli kumwambia mdomo wake unatoa harufu mbaya!

Hii kwa kweli huwaga ni ngumu. Yaani sijui hata unaanzaje tu.

Kwa kawaida ni moja ya vitu ambavyo mtu unapaswa kugundua mwenyewe. Lakini kwa bahati mbaya si wote ambao tuko hivyo.

It's a very sensitive issue, to say the least.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.

1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo

2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe

3. Una Soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.

4. Unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa Kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu

5. Unafanya kazi Gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na Grease za gereji inakuwa sawasawa na Ziro

6. Unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.

7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!

8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.

9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.

Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "udume" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.

We vipi? watu wako busy na Life,wewe anza usafi huo,kapige mkorogo kama madem tujue moja !
Mwanaume kunuka soksi siyo issue kivile mambo ya kawaida.
Tafuta pesa mkubwa achana na mambo ya kujipodoa podoa,hizo time hatuna sisi !,Hivi maisha haya chini ya uongozi wa sasa CCM unaweza kupata muda wa kuwa msafi kiivyo utakula nini,kwa raha ipi,subiri kwanza tuachafuke saaana na muda ukifika tutastarehe.
 
ukiwa msafi sana utakuwa unakaribisha ushoga, uanaume kuchafuka bwana, saa zote msafi hata semi lakutoka mbeya likiingia kushusha mzigo tandale wenzako wanachukua wee unan'gaa macho kuogopa kutoka jasho, binafsi sina muda wa kupoteza, usafi siku ya kumbukumbu yangu ya kuzaliwa tu, baasi.
Baada ya kubeba zege au lumbesa oga basi!!
 
Tafuta pesa mkubwa achana na mambo ya kujipodoa podoa...
wewe na Bill Gates nani ana pesa.kama uchafu ingekuwa ni chanzo cha kupata pesa basi yule Omba Omba Matonya angekuwa Bilionea.
 
wengine wakila nyama wana Floss lakini pia siyo lazima uwe na Tongue Scraper lakini angala kwa kiwango cha chini uwe unafanya usafi wa kinywa chako. Sasa fikiria mtu siku mbili haapigi mswaki.
Fikiria mtu anakunya mapombe ya kienyeji yale (mtama, mnazi,komoni etc) halafu anavuta sigara halafu mswaki hapigi.....!
 
Na hilo zigo ulonalo huko nyuma kwa nini nsikudake?

Hapa napiga picha siku nikiwekwa mtu kati.....pale mbele awepo Mwanne Othman....kwa pembeni kushoto awepo Fatma Mcharuko....kulia Baby J.....halafu nyuma Rose1980....

Mweh...that would be heaven on earth!

na isha mashauzi kwa pemben anapiga kingoma cha dufu..ahh lazima unyoke...lazima UKANYOE tu...ata km ulikuwa na mpango wa kuweka rasta...
 
Kuna wengine hata chupi wanavaa zimetoboka ati
Soksi zenye uvundo akkingia nazo ndani mwako; siku hiyo no mbu kuingia ndani
kama una mtoto mchanga, pumzi kwake ni mgogoro aise
kwa kweli kwangu nakutoa baluuuuuuu

Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.

1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo

2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe

3. Una Soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.

4. Unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa Kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu

5. Unafanya kazi Gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na Grease za gereji inakuwa sawasawa na Ziro

6. Unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.

7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!

8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.

9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.

Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "udume" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.
 
meno kunenepa tena!!!!!!!
mhhhhhhhhhhh rose !!!!

weeeee aujawai onaha i kitu chalii angu?
achaga kabisa yaan kitu ile jino inanenepa inafikia kizibo cha KOFLYN nakwambia ...sasa pata picha expantion ya domo apo litakiuwaje...yaan ukitaka kutafuta nusu duara na kipenyo chake na unapata bila matatiizo kwenye io njino..
 
Nimeishuhudia pia kwenye daladala, wanaume wengi huwa wanarudia nguo hata mara tatu bila kuifua, so unakuta ule uchafu wa kwenye kola ni live bila chenga +mijasho iliyokauka. Halafu daladala imejaa, unakuta umevaa kinguo chako cheupe safi, na jamaa kakuegemea. mmmpheeeew! Huwa nachoka, nahisi kutapika
 
View attachment bilget.bmp
wewe na Bill Gates nani ana pesa.kama uchafu ingekuwa ni chanzo cha kupata pesa basi yule Omba Omba Matonya angekuwa Bilionea.

View attachment bilget.bmp

Yuko nchi gani,tazama picha zake hapa
Google Images
 
We vipi? watu wako busy na Life,wewe anza usafi huo,kapige mkorogo kama madem tujue moja !
Mwanaume kunuka soksi siyo issue kivile mambo ya kawaida.
Tafuta pesa mkubwa achana na mambo ya kujipodoa podoa,hizo time hatuna sisi !,Hivi maisha haya chini ya uongozi wa sasa CCM unaweza kupata muda wa kuwa msafi kiivyo utakula nini,kwa raha ipi,subiri kwanza tuachafuke saaana na muda ukifika tutastarehe.

uyu ajakwambia ujipodoe..kakwambia uwe msafi jaman...

ukiwa kazin nobody atasema u mchafu kisa unabeba zege..pale kuchafuka ndo kwake na ukiwa msaf kazin pale utaonekana sio..tatizo afta kubeba zege vp unaenda home..bar ..kwa daladala na nguo zilezile au unaenda kuoga kwanza...?
dadavua apo utajua alikmanisha nini...KUTAFUTA PESA AINAMAANA NDO USIPIGE MSWAK babu et ukiulizwa mi natafuta pesa...kwani nan atafut pesa?
sasa pangetosha mjin apa km kila mtu anakuwa mchafu kisa ANASAKA PESA?

acha sababu babu..KAOGEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom