Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
Si wanaume tu na wanawake wamo bwana msitusingizie sisi tu. hebu leo nifue soksi zangu msije nisema bure
ukumbuke na kuyasuka mabutu km si kunyoa...!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wanaume tu na wanawake wamo bwana msitusingizie sisi tu. hebu leo nifue soksi zangu msije nisema bure
YAP! Vichokoleo (Toothpicks)
I knew it. Case closed.
ina mana niende na mswaki bar???
tank u ..tank u pipo...!!
umenyoa lakin ?
unanyolea nin wewe?
jivu?asali?mchanga wa moto?
kuwa Mstaarabu japo kidogo. Kwani unadhani mimi mwanamke?? Mimi mwenyewe hapa maskani nimeshaanza kampeni ya wanaume kuwa wasafi na tunapambana na wote wanaofikiri kwamba usafi ni usharobaro.hapo sasa mkuu_huyu jamaa nafikiri ana kisirani na wanaume.
watawezaje kusema wakat midomo yao inatema?wewe unataka hawa jamaa waseme umenipa RUSHWA!!
kuwa Mstaarabu japo kidogo. Kwani unadhani mimi mwanamke?? Mimi mwenyewe hapa maskani nimeshaanza kampeni ya wanaume kuwa wasafi na tunapambana na wote wanaofikiri kwamba usafi ni usharobaro.
Natumia Norelco.
utaninunulia?
watawezaje kusema wakat midomo yao inatema?
labda wataandika..ahh km kuandika poa tu waache waaandike asi wanafanya mazoez ya vidole manake ndo kiungo pekee wanachokifanyisha mazoez vingne vyote vipo tu vimelala kuanzia januar mosi mpk desemba 31
KESHO TENA UWACHANE enhh?wapake wapakike manake daily ahh demu wangu kajamba..demu wangu ananuka nini sjui..demu wangu anabnuka sana...ahh wanatudhjalilisha sana awa ,...yaan masuala ya kukaa na demu wakew akamrekebsha ye analeta apa..au ukute mkaka jana kapigwa kibut ahh utajua tu atakuja na topic nzito uyo acha yakuponda mademu mwanzo mwsho full kudhalilisha as if mama yake si mwanamke..
Roziiiiiiiiii......achi achi achia bodi
Achi achi achia bodi....
Umedata wee binti.
We Rose ni mwanamke kweli au geresha ya jina unafoka sana
ahha..acha tu babangu..maisha yenyewe mafup afu mtu ANATAKA KUKUNYIMA PUMZ..mie najiachia babu ... vp utaweza kunidaka kwa nyuma..
wengine wakila nyama wana Floss lakini pia siyo lazima uwe na Tongue Scraper lakini angala kwa kiwango cha chini uwe unafanya usafi wa kinywa chako. Sasa fikiria mtu siku mbili haapigi mswaki.