Wanaume tuwe wasafi jamani!

Wanaume tuwe wasafi jamani!

mbona jamaa amespecify sana kwa wanaume wakat kuna mambo kama namba 1,4,6,7 yanahusu hata wanawake?. Mi nadhan hata hao akina dada wawe wasafi pia kwny hvyo vipengere
 
hapo sasa mkuu_huyu jamaa nafikiri ana kisirani na wanaume.
kuwa Mstaarabu japo kidogo. Kwani unadhani mimi mwanamke?? Mimi mwenyewe hapa maskani nimeshaanza kampeni ya wanaume kuwa wasafi na tunapambana na wote wanaofikiri kwamba usafi ni usharobaro.
 
wewe unataka hawa jamaa waseme umenipa RUSHWA!!
watawezaje kusema wakat midomo yao inatema?
labda wataandika..ahh km kuandika poa tu waache waaandike asi wanafanya mazoez ya vidole manake ndo kiungo pekee wanachokifanyisha mazoez vingne vyote vipo tu vimelala kuanzia januar mosi mpk desemba 31

KESHO TENA UWACHANE enhh?wapake wapakike manake daily ahh demu wangu kajamba..demu wangu ananuka nini sjui..demu wangu anabnuka sana...ahh wanatudhjalilisha sana awa ,...yaan masuala ya kukaa na demu wakew akamrekebsha ye analeta apa..au ukute mkaka jana kapigwa kibut ahh utajua tu atakuja na topic nzito uyo acha yakuponda mademu mwanzo mwsho full kudhalilisha as if mama yake si mwanamke..
 
mbona jamaa amespecify sana kwa wanaume wakat kuna mambo kama namba 1,4,6,7 yanahusu hata wanawake?. Mi nadhan hata hao akina dada wawe wasafi pia kwny hvyo vipengere
unaruhusiwa ku-add comment
 
kuwa Mstaarabu japo kidogo. Kwani unadhani mimi mwanamke?? Mimi mwenyewe hapa maskani nimeshaanza kampeni ya wanaume kuwa wasafi na tunapambana na wote wanaofikiri kwamba usafi ni usharobaro.

Hivi kuna watu wenye hizo dhana potofu?
 
Hii mada yako haiwatendei haki wanaume. Kuna kinamama hapa watadhani wanaume wote wako hivyo kitu ambacho siyo kweli. Ulitakiwa kueleza kwa uwazi ni wanaume wa sehemu gani unawaongelea. Nyie kina mama mnaoshabikia kama mna hayo matatizo na waume/mahawara zenu mjue ni ya kwao hayatuhusu wanaume wengine.
 
hahaaaaaaaaaaaaa inaonyesha we ni mtalaamu wa kukutana na vitema mdomo

watawezaje kusema wakat midomo yao inatema?
labda wataandika..ahh km kuandika poa tu waache waaandike asi wanafanya mazoez ya vidole manake ndo kiungo pekee wanachokifanyisha mazoez vingne vyote vipo tu vimelala kuanzia januar mosi mpk desemba 31

KESHO TENA UWACHANE enhh?wapake wapakike manake daily ahh demu wangu kajamba..demu wangu ananuka nini sjui..demu wangu anabnuka sana...ahh wanatudhjalilisha sana awa ,...yaan masuala ya kukaa na demu wakew akamrekebsha ye analeta apa..au ukute mkaka jana kapigwa kibut ahh utajua tu atakuja na topic nzito uyo acha yakuponda mademu mwanzo mwsho full kudhalilisha as if mama yake si mwanamke..
 
Roziiiiiiiiii......achi achi achia bodi

Achi achi achia bodi....

Umedata wee binti.

ahha..acha tu babangu..maisha yenyewe mafup afu mtu ANATAKA KUKUNYIMA PUMZ..mie najiachia babu ... vp utaweza kunidaka kwa nyuma..
 
ahha..acha tu babangu..maisha yenyewe mafup afu mtu ANATAKA KUKUNYIMA PUMZ..mie najiachia babu ... vp utaweza kunidaka kwa nyuma..

Na hilo zigo ulonalo huko nyuma kwa nini nsikudake?

Hapa napiga picha siku nikiwekwa mtu kati.....pale mbele awepo Mwanne Othman....kwa pembeni kushoto awepo Fatma Mcharuko....kulia Baby J.....halafu nyuma Rose1980....

Mweh...that would be heaven on earth!
 
ukiwa msafi sana utakuwa unakaribisha ushoga, uanaume kuchafuka bwana, saa zote msafi hata semi lakutoka mbeya likiingia kushusha mzigo tandale wenzako wanachukua wee unan'gaa macho kuogopa kutoka jasho, binafsi sina muda wa kupoteza, usafi siku ya kumbukumbu yangu ya kuzaliwa tu, baasi.
 
wengine wakila nyama wana Floss lakini pia siyo lazima uwe na Tongue Scraper lakini angala kwa kiwango cha chini uwe unafanya usafi wa kinywa chako. Sasa fikiria mtu siku mbili haapigi mswaki.

mtu apig mswak wik mpk meno yananenenpa na mwishowe anashindwa kuongea..ahh stak mie
 
Back
Top Bottom