Wanaume ubongo wetu unakasoro sometimes??

Wanaume ubongo wetu unakasoro sometimes??

Ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:

afadhari leo umeona jinsi mlivyo na matatizo nyie
 
sasa kuna kitu cha bure kweli dunia ya leo mi kinanishangaza kitu kimoja pamoja na matatizo hayo uliyosema bado hatuachi kufukuziana
 
kama yako kweli mmmh, kazi kwelikweli huko ulipo, inatakiwa uwe na pesa nyingi kupata wataliiiiiiii.
Sura ya mwana mume!!sio unakuwa nakajisura kalikokuwa sawa na kadadako!!:A S angry:
 
Back
Top Bottom