Wanaume unapoombea watoto wako usiombee tu ulionao nyumbani, wanawake wana siri nzito

Wanaume unapoombea watoto wako usiombee tu ulionao nyumbani, wanawake wana siri nzito

laii

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
843
Reaction score
1,094
Kuna umri ukifika, mwanaume uliyezaliwa rijali na kupitia mapito mengi hapa duniani ikiwemo maisha ya uchumba, club, pombe, unapowaombea watoto, omba naombea watoto wangu popote walipo, usiombee tuu hao wa nyumbani kwako.

Kuna wanawake wana siri nzito sana, unaweza ukampa mimba akapotea usimwone ilimradi akuze mimba yako bila kukusumbua, na wewe kumletea habari zako za kipepo za kutoa mimba na pindi mnakutana kijana he is 10years akuambii n'goo zaidi ya salamu.

Pia kuna wale waliokaa kwenye mahusiano kwa mda mrefu bila mtoto, anatafuta mtu kutoka mbali na anapoishi anakupa cha mtoto, halafu anawahi chaap kwa mwenza wake na yeye anampa, mara mimba paap, mwamba anafurahia uzao kumbe mimba ni ya mtu mwingine.

Ogopa sana seasonal sex, ya every after two to three years, muda mwingi no mawasiliano ya simu, akikuhitaji yeye ni kukupigia simu unaendeleaje, nikija mbeya nitakucheki au nikija Dom nakucheki.

Hawa wanakua na full vipimo😅 akija lazima mkafanye checkup ndio mkutane, na ni wajanja mnooo, hawakubali mkutane usiku, akifika mkoa husika may be ni Arusha atachukua chumba, then akutafute asubuhi, anakwepa vishawishi vya usiku.

Dunia ina mamboo toka kitambooo-Dogo Dito.
 
Kuna muda wanawake tunawaza huyu nikimwambia ataniambia habari za kutoa na unakuta haupo tayari unaamua kula kukaza tu kubaki na jukumu la kulea mimba na mtoto yeye aendelee kula Bata

Hakuna mwanamke anapenda kuzaa nje au kuwa na wababa tofauti tofauti ni vile tu hatuna uwezo wa ku control outcomes
 
Kuna mpuuzi mmoja katokomea kusiko julikana na alibadili line,hii ni kupeana mitihani tu kwenye hizi ndoa[emoji1][emoji1][emoji1].
Ila kuna damu zingine lazima zitatafuta asili yake iko wapi siku isiyokua na jina mnakutana just from know where!!
 
Kutiana sio mchezo! Kuna pahala Kila ukidhamiria kuwa mtiano wa safari hii ni wa mwisho ndio kwanza kama vile umechochea petroleum kwenye moto daaaaah! sio poa aseee
 
Back
Top Bottom