uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Siwezi na sitaweza Kuwa na mtoto Un calculated, halitawezekana, kupanga ni kuchagua, nakuelewa, but kwangu Hilo Halipo!
Sifanyi na sitakaa kufanya MAPENZI Kama mbuzi au sungura, nafanya MAPENZI Kama binadamu na ninakuwa calculated haswa no chance!
Sifanyi na sitakaa kufanya MAPENZI Kama mbuzi au sungura, nafanya MAPENZI Kama binadamu na ninakuwa calculated haswa no chance!