Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,818
- Thread starter
- #41
Usilete masihara, ukumbuke hadi size yake ya kiatu Kama sio kiuno.Yaani wakati unaninunia najisemea huyu mwanamke kweli ananinunia jambo dogo hivi Mungu amsamehee tu.
miezi michache imepita nilinuniwa kisa nimesahau tarehe ya likizo....Vingine unafikiri tunajitakia kusahau sasa...