Wanaume!!! Usahaulifu wenu unatuumiza....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mnasahau sana sana hata vitu vya muhimu. Hela tu ndo hamsahau
Kwenye hela ni anga nyengine. Hata ibaki senti 50 kwenye mfuko wa suruali kama imefuliwa najua tu. Tena suruali naikumbuka mpaka na rangi yake.
 
Wanaume hamjui tu. A little effort goes a long way.
Kuna mambo ambayo munaweza kuyaona ni madogo lakini kwetu ni makubwa tena ya thamani sana.
Muhimu ni kutukumbusha na ukweli ni kwamba hatufanyi makusudi, mambo ni mengi tu kichwani yanakuwa yanapandiana. Kitu ambacho hatusahau ni hela tu na matumizi yake yanakwendaje.
 
Muhimu ni kutukumbusha na ukweli ni kwamba hatufanyi makusudi, mambo ni mengi tu kichwani yanakuwa yanapandiana. Kitu ambacho hatusahau ni hela tu na matumizi yake yanakwendaje.
Very true.

There are some very good men out there ukiwa nao kumbuka kumshukuru Mungu.

Na sisi wanawake huwa tunajitahidi kuelewa kwamba anakimbizana kusaka noti atekeleze mahitaji yangu yote na na mie niwe mvumilivu na nimpe support.
 
Safi sana. Nimeipenda akili yako ipo vizuri. Sina cha kuandika zaidi, kwa ulichokiandika kinasadifu uhalisia wako. Upo vizuri.

Day njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…