Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Kwenye hela ni anga nyengine. Hata ibaki senti 50 kwenye mfuko wa suruali kama imefuliwa najua tu. Tena suruali naikumbuka mpaka na rangi yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mnasahau sana sana hata vitu vya muhimu. Hela tu ndo hamsahau