Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Hello guys,

There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lakini shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa wakati wewe the man of the match huambulii hata busu

Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na wewe, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lakini yupo na wewe kwa kuwa una pesa au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.

Source: uzoefu wangu
Maaamaee haka katabia wanako sana walokole afu unakuta washamtoboa walokole wenzake huko kanisani.shame on you walokole.
 
Back
Top Bottom