Haya ndo matope ya wanawake wachahce ambayo nikiyaskiaga natamani kutapiaka lol!
hela ya mwanaume tena si mume ni mpenzi aisee tumeumbwa tofauti. am your love but my doesnt know you and yours doesnt know me. nipe kwa upendo pasi kuomba kabisa nalia shid aduh hapana niacheni tu niuze ice cream na karanga darasani.
ina maana wakati huo utazidi kumuamgalia tu ilihali anakutamanisha.
Haya ndo matope ya wanawake wachahce ambayo nikiyaskiaga natamani kutapiaka lol!
hela ya mwanaume tena si mume ni mpenzi aisee tumeumbwa tofauti. am your love but my doesnt know you and yours doesnt know me. nipe kwa upendo pasi kuomba kabisa nalia shid aduh hapana niacheni tu niuze ice cream na karanga darasani.
Haya ndo matope ya wanawake wachahce ambayo nikiyaskiaga natamani kutapiaka lol!
hela ya mwanaume tena si mume ni mpenzi aisee tumeumbwa tofauti. am your love but my doesnt know you and yours doesnt know me. nipe kwa upendo pasi kuomba kabisa nalia shid aduh hapana niacheni tu niuze ice cream na karanga darasani.
i admire tichaz lyk u,,,,umefundishwa SAIKOLOJI na mama TUNGARAZA NINI????
we utamtamanisha waleti lakini na wewe mate yatakuwa yanakumwagika,na pia mtakuwa mnatunishiana misuli,je hufikiri haya ni mapenzi-pesa?.
Hapo kazi ipo huyo mdada hafai kuwa mke maana hana mapenz ya dat anatanguliza hela tena kabla ya kudoo ndo umlipie pango kwanza duuuuuh kimbia hakufai hata kidogo
Caroline Danzi katika umaskini ambao unatakiwa kuukimbia mwanamke ni wa kuomba hela hasa kwa mpenzi wako. ni ujidhalilisha sana na men do gossip atakwenda kukutangaza kuwa ni mtu wa mizinga ama anakupa huku analalamika ya nini? yakwako yakwao yakwangu yakwangu na mwisho wa siku kama nakupa nakupa kwa upendo na kama unanipa unipe kwa upendo ila sikuombi.Wanawake wengine wana macho makavu. Hivi unaanzaje kuomba hela as if ulimuwekesha. Mungu aniepushe na huo wizi. Inatia kinyaa.