Wanaume:utajisiakiaje.......

Wanaume:utajisiakiaje.......

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
hii biashara tu haina shida sana unachofanya ni kukubaliana naye
 
Haya ndo matope ya wanawake wachahce ambayo nikiyaskiaga natamani kutapiaka lol!

hela ya mwanaume tena si mume ni mpenzi aisee tumeumbwa tofauti. am your love but my doesnt know you and yours doesnt know me. nipe kwa upendo pasi kuomba kabisa nalia shid aduh hapana niacheni tu niuze ice cream na karanga darasani.
 
he he he heeee

unajibu hata mimi nakupenda saana
nitalipa tu hapo baadae
baada ya mda wa kuchunguzana kuisha na kuanza mapenzi rasmi lol

ina maana wakati huo utazidi kumuamgalia tu ilihali anakutamanisha.
 
Hapo kazi ipo huyo mdada hafai kuwa mke maana hana mapenz ya dat anatanguliza hela tena kabla ya kudoo ndo umlipie pango kwanza duuuuuh kimbia hakufai hata kidogo
 
Haya ndo matope ya wanawake wachahce ambayo nikiyaskiaga natamani kutapiaka lol!

hela ya mwanaume tena si mume ni mpenzi aisee tumeumbwa tofauti. am your love but my doesnt know you and yours doesnt know me. nipe kwa upendo pasi kuomba kabisa nalia shid aduh hapana niacheni tu niuze ice cream na karanga darasani.

i admire tichaz lyk u,,,,umefundishwa SAIKOLOJI na mama TUNGARAZA NINI????
 
Haya ndo matope ya wanawake wachahce ambayo nikiyaskiaga natamani kutapiaka lol!

hela ya mwanaume tena si mume ni mpenzi aisee tumeumbwa tofauti. am your love but my doesnt know you and yours doesnt know me. nipe kwa upendo pasi kuomba kabisa nalia shid aduh hapana niacheni tu niuze ice cream na karanga darasani.

ukweli ni kwamba wengi wao wakishapata mtu kama huyo huona huo ndio wakati muafaka wa kutangaza shida zao,wanashindwa kufikiria kwamba penzi linapomea ndipo vitu kama hivyo huja automatically.kwa yale unayosema kama wewe huna tabia kama hizo ni vema na ni msingi mzuri katika mahusiano.
 
Haya ndo matope ya wanawake wachahce ambayo nikiyaskiaga natamani kutapiaka lol!

hela ya mwanaume tena si mume ni mpenzi aisee tumeumbwa tofauti. am your love but my doesnt know you and yours doesnt know me. nipe kwa upendo pasi kuomba kabisa nalia shid aduh hapana niacheni tu niuze ice cream na karanga darasani.

Wanawake wengine wana macho makavu. Hivi unaanzaje kuomba hela as if ulimuwekesha. Mungu aniepushe na huo wizi. Inatia kinyaa.
 
na yeye si namtamanisha wallet?
ngoma droo

we utamtamanisha waleti lakini na wewe mate yatakuwa yanakumwagika,na pia mtakuwa mnatunishiana misuli,je hufikiri haya ni mapenzi-pesa?.
 
sikiliza nyimbo ya Ali Kiba
single boy
 
Hapo kazi ipo huyo mdada hafai kuwa mke maana hana mapenz ya dat anatanguliza hela tena kabla ya kudoo ndo umlipie pango kwanza duuuuuh kimbia hakufai hata kidogo

ni kweli anaweza kuwa hafai kuwa mke,vp kama unakuwa umempenda na yeye ndio msimamo wake huo?
 
lipa pango, kula mzigo!! sioni cha kuuliza
 
Unakumbukaaaa????Rejea siredi,Khaaaa!!Kwani lazima????
 
Wanawake wengine wana macho makavu. Hivi unaanzaje kuomba hela as if ulimuwekesha. Mungu aniepushe na huo wizi. Inatia kinyaa.
Caroline Danzi katika umaskini ambao unatakiwa kuukimbia mwanamke ni wa kuomba hela hasa kwa mpenzi wako. ni ujidhalilisha sana na men do gossip atakwenda kukutangaza kuwa ni mtu wa mizinga ama anakupa huku analalamika ya nini? yakwako yakwao yakwangu yakwangu na mwisho wa siku kama nakupa nakupa kwa upendo na kama unanipa unipe kwa upendo ila sikuombi.

ni jeuri nzuri sana kwa mwanamke ukiiweza inakupa kujiamni na akili pia ya kutafuta hela huwi tegemezi hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
sikiliza nyimbo ya Ali Kiba
single boy

hahahaaaa....hayo mi huwa naona ni usanii tu,ila kwa suala hili linanisumbua kichwa coz huyu dada nampenda ila tatizo ndio hilo.
 
Back
Top Bottom