Wanaume:utajisiakiaje.......


You doesnt know? duuu jamani hivi ni lazma kuongea hii lugha ama ndo swaga zenyewe
 
hayo ndio mambo ya "document kwanza mzigo baadae"...hahahaha
 
You doesnt know? duuu jamani hivi ni lazma kuongea hii lugha ama ndo swaga zenyewe

aisee kama huji dunian hakunaga aibu kama ya kuomba kitu halafu usipewe wakati unajua kwamba uliyemwomba anacho. sasa ili isikuumize inabidi na wewe unaichukulia kimasihara tu
 

kwanini asiombe tu kwa njia ya kwaida kuliko kutumia njia aliyootumia,hapo ameona security yake ni penzi,au inawezekana labda kuna kitu amehisi juu ya mahusiano haya,sidhani kama ni njia nzuri hasa kwa mapenzi machanga coz una display tabia zako kiuhalisia.
 
kama ktu mkitoka anakugharamia laki kwanini nimpige mzinga wa laki piga wa m5-10 manina wallah mwenyewe anapiga chini na wewe kiulain unakaa pambeni.

gfsonwin utaua aisee, million 5 hadi 10? service ina-correspond na value for money kweli hapo?
 
Last edited by a moderator:

Kamata mwizi meeen !
 
hhahahaaa nimecheka sana coz hii huwa nafanya sana .kweli kama mwanaume simtaki lazima nimpge mzina mreefu ambao najua hawezi nipa nahapo ndo namwambia usinisumbue kama huwezi nipa hata sh flani.mja nilimwambia nina shida ya laki akaenda baada ya siku 3 kaniletea nikamwambia usinisumbue nshapata kwa mwanaume mwingine,mngine alijishaua na vilaki nikamwambia nina shida ya milioni nne sijamwona tena.hahhah lakini kama nampenda mwanaume hata kumi siombi na akinipa pesa namuliza ya nini
 
wewe wa mashtuzi stress kwako miye na wewe tunassume tuko peponi tu usinipige mzinga wala nisikupige na siku ukiona unadhiki hadi miguuni usintafute na mimi nikiwa hivyo sikutafuti so heshma mbele. ni upumbavu san akutegemea wanaume hasa kwenye hela.

itabidi nikutafute unidadavulie kidogo kuhusu dhana ya 'mashtuzi' aisee
 

kwa mtindo huu mtateketeza this young generation.kwanin kama mtu humpendi usimwambie tuu ukweli kuliko kuchezea hisia zake?.
 
sio deni pesa hiyo kamnunulie mama yako mzazi chakula upate siki nyingi za kuishi katika nchi upewayo na Mungu wako hilo li janajike achana nalo

je wazazi si wana nafasi yao and the same thing to your girl?
 
Wengi ving'ang'anizi halafu kwa hulka ya kinadamu kama mtu una dhamira ni ngumu sana kumwambia mtu direct sikutaki ndo mana natafuta pa kutokea
 

gfsonwin unaonekana una msimamo kweikweli,shemeji si atakuwa mpole sana hapo?
 

Namlipia...
Alafu sidai tufanye ngono... kimya kama wiki 2 nione atasemaje.
 

umenifurahisha,chukua tano......
 
Alafu nashangaa... mi nimetongoza dem kanikubalia, sasa suala la kubanjuana naomba tena???!!! Sasa alinikubalia nini?
 
Wengi ving'ang'anizi halafu kwa hulka ya kinadamu kama mtu una dhamira ni ngumu sana kumwambia mtu direct sikutaki ndo mana natafuta pa kutokea

hapo ndipo chuki inapojenga mizizi.
 
Alafu nashangaa... mi nimetongoza dem kanikubalia, sasa suala la kubanjuana naomba tena???!!! Sasa alinikubalia nini?

labda mahusiano yanakuwa phase mbalimbali,phase ya kuanza mahusiano,phase ya kuanza tena mchakato wa kuomba penzi.......and so on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…