Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
Nawe jibu"honey nakupenda pia, na napenda kuwa nawe pia, ila kabla sijakupia pango lazima unipe uroda coz pesa kwangu sio tatizo ila hua zinatoka baada ya kupewa uroda".