Wanaume:utajisiakiaje.......


ndugu uliyoongea yana ukweli ndani yake,ni kweli kama mtu unampenda akikuomba hela kama unazo utampa,lakini hapa ni tofauti,utofauti unakuja kwenye approach ya kuomba hiyo hela,anaweka sharti kwamba nikitaka kitumbua shurti nimlipie pango,kwa maana hiyo kila ntakapokuwa nataka uroda kutoka kwake lazima nimpe hela,sasa je hiyo ni sahihi na haki?
 

...kwa staili hiyo uliyoisema nikiwa Mimi basi eiza naachana naye kimoja kama nilikuwa nampigia mipango ya future,au kama ndo sina njia yoyote na inabidi nikipate hicho auzacho basi nalipia pango zen2namalizana just for ze sake of having fanz only and nothing more...
 
Hii sredi hii...naomba nisiseme kitu.....
 

No money,no service...Unataka kula bure hata aibu huoni?
 
Huyo ni kichomi achana naye.
Ni kwa kuwa hana kampany kama ulivyodai ndo maana anataka kukuuzia uloda kwa kodi ya miezi 6.
HAFAI HUYO.
 
kwani na wewe kesha kustukia kuwa utakuwa mpitaji tu kwake hivyo hana haja ya kupoteza muda kusubir penzi linoge ili vitu hivyo utoe automatically bana.kama uwezo unao wewe msaidie ili nawe upate kujisaidia,sasa kama hajakuomba wewe mpenzi wake matatizo yake hayapeleke wapi unadhani?...mhh hata hivyo kabint kana udhubutu wa kutosha manake dah ni ngumu sana kwa binti mazee....kama mimi namsaidia shida yake kisha nahairisha kujisaidia kwake,then anakuwa rafiki tu si mpenzi tena.
 
Du aisee haya maisha nomaa watu wapo kikazi zaidi mwambie kununua kei kwa 72 bora niende kona baa nikachukue wazuri kuliko wewe!
 
Kwani kuna chumba cha 12 kwa mwezi town? Hata manzese au kibela hauwezi pata chumba kwa bei hyo huyo sio demu(abdu kiba ft ney wa mitego) bali ni muuza kei.
 
Kwani kuna chumba cha 12 kwa mwezi town? Hata manzese au kibela hauwezi pata chumba kwa bei hyo huyo sio demu(abdu kiba ft ney wa mitego) bali ni muuza kei.

hii ishu ni mkoani sio hapo town
 
hahahaaaa....hayo mi huwa naona ni usanii tu,ila kwa suala hili linanisumbua kichwa coz huyu dada nampenda ila tatizo ndio hilo.

kama unampenda lipa kodi ya nyumba sasa unasubiri nini??lol!
 
kama unampenda lipa kodi ya nyumba sasa unasubiri nini??lol!

kinachonifanya nichelee kumlipia hilo pango ni kwamba nafsi yangu haijalidhika na approach yake naona kaama nimenadishiwa penzi.
 
kama hujafanikiwa kumuweka karibu na wewe ukimlipia then akala kona utafanyaje kiongozi. Angalia utalizwa.
 
Hii ombaomba ndo inashusha heshima kwa wanawake. kwani huwezi kujishughulisha ukalipa hilo pango? heshima ya mtu hujengwa na mtu mwenyewe na mwanamke ambae sio ombaomba hupewa pila hata kuomba. Mkimbie hafai huyo. kwani yeye mnapofanya mapenzi hasikii utamu? mwambie na wewe kuwa umeishiwa mafuta (100 liters)kwenye gari akujazie ili uende kumlipia hilo pango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…