Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

Maisha hayatabiriki, chochote atakacho kupatia mungu hilo ndilo fungu lako
 
Mi nafikiri kujilinganisha sana na watu wengine kunaweza kumpelekea mtu kukata tamaa, maendeleo ya kweli hupimwa kwa kuilingnisha jana na leo yako. Hakuna kanuni maalumu ya mafanikio.
 
Mi nafikiri kujilinganisha sana na watu wengine kunaweza kumpelekea mtu kukata tamaa, maendeleo ya kweli hupimwa kwa kuilingnisha jana na leo yako. Hakuna kanuni maalumu ya mafanikio.
Hakika

Kuishi kwa comparison ni jela ya kujitakia
 
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…