naomba sana msamaha dadangu... nahisi una matatizo fulani au kuna ktu kimekaa vibaya, threads zako zimekaa kingono-ngono sanaWanaume wakikaa pamoja kwenye mabaraza yao na wanawake wakikaa pamoja, je ni watu wa jinsia gani huzungumzia ngono zaidi?
Ni kweli kabisa VOR, i truly believe kwa usemi huo. A single post/thread inaweza kumuharibia kabisa mood, AHSANTE SANA.Is this necessarry....?, Mkuu usiwe mkali kwa dada yetu..... comment nyingine zinaweza kumuharibia mtu siku.... Chiniese wanaamini.... "Even Butterflies Flap Can Affect Hurricane Season"
wakimaanisha kwamba hasira zako kwa dada zinaweza zikamfanya nae apate hasira kwa mtu mwingine... knock on effect before we know it JF nzina tunajibishana kwa hasira....
Du!! Kakukosea nini???
mweeeeeeeeeeeeee!!!
hakuna ulichowaza kingne zaid ya iki?
dah
aya
i was here
wanaume na wanawake wanafanana tabia,huoni humu kuna wanaume wana midomo mirefu wanawake hawaingii:car:
Duh hii kali unasema mdomo au kitu kingine umekosea kutype?
Na wanawake wanamidomo mifupi wanaume hawaingii
Ni kweli kabisa. Tumeona hapa, ikianzishwa mada ya ngono/mahusiano wanawake na wanaume hujitokeza kuongelea, pengine zaidi kuliko mada yoyote ile. Labda tungelikuwa na benki ya data hapa kuhesabu nani wanaongelea zaidi.Wote tu wanaongelea sana hayo mambo!!!
Na wanawake wanamidomo mifupi wanaume hawaingii
mdomo jamani sijakoesea wala nini
Nazjaz
Senior Member
Join Date:
Thu Jan 2011
Posts:
57
Thanks:
17
Mambo sielewi, jamaa wamejuaje huyu ni DADA, na mbona kama ni "SENIOR MEMBER", kaingia jamvini 2011!!!!!!!!!
SIELEWI!!!!!!!
Wanaume wakikaa pamoja kwenye mabaraza yao na wanawake wakikaa pamoja, je ni watu wa jinsia gani huzungumzia ngono zaidi?
Oooh okay poa basi maana nilikuwa napitapita nikaona bi dada mwanamkasi a.k.a Shosti katoa mawazo lakini hicho kirefu ni kidomo na si kingine basi me napita.