WANAUME vs WANAWAKE

WANAUME vs WANAWAKE

Wanaume wakikaa pamoja kwenye mabaraza yao na wanawake wakikaa pamoja, je ni watu wa jinsia gani huzungumzia ngono zaidi?
naomba sana msamaha dadangu... nahisi una matatizo fulani au kuna ktu kimekaa vibaya, threads zako zimekaa kingono-ngono sana

I am just worried aloud
 
Nazjaz
Senior Member


Join Date:
Thu Jan 2011
Posts:
57
Thanks:
17


Mambo sielewi, jamaa wamejuaje huyu ni DADA, na mbona kama ni "SENIOR MEMBER", kaingia jamvini 2011!!!!!!!!!
SIELEWI!!!!!!!
 
Is this necessarry....?, Mkuu usiwe mkali kwa dada yetu..... comment nyingine zinaweza kumuharibia mtu siku.... Chiniese wanaamini.... "Even Butterflies Flap Can Affect Hurricane Season"
wakimaanisha kwamba hasira zako kwa dada zinaweza zikamfanya nae apate hasira kwa mtu mwingine... knock on effect before we know it JF nzina tunajibishana kwa hasira....
Ni kweli kabisa VOR, i truly believe kwa usemi huo. A single post/thread inaweza kumuharibia kabisa mood, AHSANTE SANA.
 
Du!! Kakukosea nini???

Katavi usimshangae sana Sumbalawinyo kwa sababu gani, hi thread imezaliwa baada ya thread moja inasema kama hujatongozwa wiki Nzima....,

Sasa kule kuna mtu kamshauri huyu bibie afanye kazi aache kufanya tathimini hio ya katongozwa mara ngapi kwa siku, wiki, mwezi, Mwaka. Akawa mkali kweli kweli, akaamua kuanzisha thread hii.
 
Mleta mada,

Kuna kuongea na kuwaza, kuna rika watu wanajihusisha zaidi na sex hasa ma teenager hapo haijalishi dume au jike. Ukiwa responsible man huwezi kupata muda wakukaa na kudiscuss ngono huku umeme hakuna gesi hakuna, maji kwishne watoto wagonjwa mshahara kiduchu mtaa mchafu, foleni kubwa joto kaliii kijijini wanaomba ada uuuuh
 
Mmh! Ngoja nitafute kikao cha wanaume nikawasikilize.
 
Wote tu wanaongelea sana hayo mambo!!!
Ni kweli kabisa. Tumeona hapa, ikianzishwa mada ya ngono/mahusiano wanawake na wanaume hujitokeza kuongelea, pengine zaidi kuliko mada yoyote ile. Labda tungelikuwa na benki ya data hapa kuhesabu nani wanaongelea zaidi.
 
mdomo jamani sijakoesea wala nini

Oooh okay poa basi maana nilikuwa napitapita nikaona bi dada mwanamkasi a.k.a Shosti katoa mawazo lakini hicho kirefu ni kidomo na si kingine basi me napita.
 
Nazjaz
Senior Member


Join Date:
Thu Jan 2011
Posts:
57
Thanks:
17


Mambo sielewi, jamaa wamejuaje huyu ni DADA, na mbona kama ni "SENIOR MEMBER", kaingia jamvini 2011!!!!!!!!!
SIELEWI!!!!!!!

ni sinia member kwasababu ya idadi ya posts
 
Oooh okay poa basi maana nilikuwa napitapita nikaona bi dada mwanamkasi a.k.a Shosti katoa mawazo lakini hicho kirefu ni kidomo na si kingine basi me napita.

halafu weye sheikh yahya nini,jina la mamangu umelijuaje weye nakuogopa!!!
 
Ha leo umekuwaje lakini maana hizi thread zako?? Wewe ukikaa huko huwa unazungumzia nini tupe uzoefu wako kwanza
 
Back
Top Bottom