Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Hahahahahaaaaa iyo kichwa ni noma sana mzee wa "Old Skulii"Kwa hisani ya papa mafido...
Mangi nitake radhi muzeee, mimi ni Raia wa R na najua bangi ila najua kusoma na kuandika pia.Hahaha.
Machalii wa R bhana.
Wanachojua wao ni bangi tu.
Labda una bahati mbaya tu. Siyo wote mkuu.
Aina kwere sela
Chalii ulikuwa wapiHaikatoxi
kuna dalili za povu hapa[emoji2] [emoji2] mademu wa mikoani bhana. Hapo kajiona mjanja kinoma wakati wenzao wa dar hawasubiri dj aseme mikono juu na kamwe wewe mtoto wa mkoani hautojua uliibiwa vp. Huku dar unatengenezewa mazingira ya kutoa haina haja ya kutumia nguvu yote hiyo.
NB: wanaume wa dar tunajua kupenda na tunajua kuhonga si ajabu huyo dada yako wa mkoani alihongwa akahisi ameimuibia. Karibu Tanzania Dar es salaam.
HahahaEeer!
Ngastuka!
Hahaha
Machale kundesaaaaaahhhh!!!!
Hivi nani amekuteka love
Tuonane mekus basi baadaye...Hahaha
Machale kundesaaaaaahhhh!!!!
Hivi nani amekuteka love
EwaaaaaaTuonane mekus basu baadaye...
Kama nakuona vile..Ewaaaaaa
Halafu ole wako usijeKama nakuona vile..
Nipo hata saaa hiviHalafu ole wako usije