Wanaume wa Arusha

Wanaume wa Arusha

[emoji2] [emoji2] mademu wa mikoani bhana. Hapo kajiona mjanja kinoma wakati wenzao wa dar hawasubiri dj aseme mikono juu na kamwe wewe mtoto wa mkoani hautojua uliibiwa vp. Huku dar unatengenezewa mazingira ya kutoa haina haja ya kutumia nguvu yote hiyo.
NB: wanaume wa dar tunajua kupenda na tunajua kuhonga si ajabu huyo dada yako wa mkoani alihongwa akahisi ameimuibia. Karibu Tanzania Dar es salaam.
kuna dalili za povu hapa
 
Haina noma bablai.. Hawanaga mboyoyo mingi hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom