Wanaume wa .com

Ahhh na wewe unaniangusha bana
We hata sura za single huzijui mpaka unaenda kuparamia kitu ya mtu
Huyo hahitaji zaidi ya one night stand hayo mambo ya kupigiana simku za usiku au kuambiana mic u hazipo
 
Ndio maana hata ukienda kwenye ofisi unakuta kuna tangazo lifuatalo "Working Hours 9:00am to 5:00pm" akili zako changanya na za kuambiwa
kwani kumpigia mtu simu tena anaedai anakaa alone saa tatu ni kosa?
 
Ahhh na wewe unaniangusha bana
We hata sura za single huzijui mpaka unaenda kuparamia kitu ya mtu
Huyo hahitaji zaidi ya one night stand hayo mambo ya kupigiana simku za usiku au kuambiana mic u hazipo
mbona yeye alikuwa ananicall kila siku mchana lakini nikaona na mimi nimpigie siku iyo usiku ndo hvo kigugumizi kwa wingi khaa
 
dawa ya mtu kama huyo chukulia poa tu! mpigie mchana muambie pole, naona jana network ilikuwa inasumbua. piga nae stori fresh kama kawa. akileta za kichumba muambie 'unasaka mke wa pili? manake na mie nasaka mme wa pili pia'. atakoma mwenyewe. wee mtumie ku-refresh mind hivyo unaweza pata mshkaji wa ukweli akakushauri mambo ya maana.
angesema basi yeye anapatikana mchana tu usiku yupo lindoni
<br />
<br />
 
te hee bebii bana...kuna kauli nimeipenda hapo "anadai yuko single"nimenukuu...hii inaonesha ulijua kuwa hayuko single!!
 
akitulia kwenye ndoa yake wadada walio single watapata wapi msaada...... Hujui waliooa ndo back up nzuri...ambao hawajaoa wengi ni watoto..form four, six leaver..wachache wa chuo na wadada lukuki..
 
unajua bebiii...kuwa "single " alimaanisha that day n that particular moment and place..after that akawa occupied...

pili.. hii ni kwa kina dada wote...KUOA AU KUOLEWA SIO KWAMBA NDIO MATAMANIO AU HISIA ZA MAPENZI KWA WENGINE WENYE JINSIA MMBADALA NJE YA MME AU MKEO ZINAISHA NA KUFA KABSAAA MIILINI NA MACHONI PETU...NDIO MAANA TUPO WAZEE WA "M.B.A conditioned"=MARRIED BUT AVAILLABE under special conditions...

kwa hiyo sio mbaya ukiendelea kucheck naye kwa sms akupe conditions ili usije kumuharibia ndoa yake au hata kuharibu maisha yako incase mkewe akijua....chukua hatua whether you like or not these are among the very few "living fact under the sun"
 
mbona yeye alikuwa ananicall kila siku mchana lakini nikaona na mimi nimpigie siku iyo usiku ndo hvo kigugumizi kwa wingi khaa

Ndo ujue yeye ni wa mchana tuu usiku the no you are calling is busy or not reachable please call again later

So akili kichwani mwako au changanya na za kuambiwa
 
Bebii...hebu kuwa expensive kidogo...uta enjoy...nimemaliza...
ujibu ile msg yangu sasa...
 
niliwahi kaa siti moja na dada mmoja nikiwa natoka Bagamoyo, alichukua namba yangu baada ya kuhoji kwanini nimeenda peke yangu huko, na nikamjibu nipo single. Usiku wake tu akanipigia, kesho yake akadai niende kwao kumsalimia, yaani nilijuta kumpa namba.
 
si ulimpa simu akupigie au ? msipopigiwa mnalalamika so what?
 
Bebii...hebu kuwa expensive kidogo...uta enjoy...nimemaliza...
ujibu ile msg yangu sasa...
mimi ni expensive sana hata wewe unajua si unmakumbuka siku ile?
 
Ndo ujue yeye ni wa mchana tuu usiku the no you are calling is busy or not reachable please call again later

So akili kichwani mwako au changanya na za kuambiwa
na mimi ni wa usiku tuu ndo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…