Wanaume wa .com

Nahisi kuna mtu alitaka kukuingiza chaka dadaangu
 
Bebii pole mwaego, Naamini mlitumia condom.

Next time omba ushauri kwangu kabla hujatoa namba za simu.
 
angesema basi yeye anapatikana mchana tu usiku yupo lindoni
Tena umenikumbusha!

mabinti wengine wanamapozi sana. utakuta umempenda sana halafu anaanza kukupa masharti oooh! sipendi unipigie simu usiku....ooh! sijui....nini na nini!
sasa unakuta mtu kama mimi huwa kuna wakati narudi nyumbani saa tano usiku, nioge niandae outfit za kesho halafu nipumzike kwa bahati nzuri kabla hujaishia usingizini unamkumbuka unampigia unakutana na majibu kama hayo....kwa mtu kama mimi sikutafuti tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…