Wanaume wa .com

lahaula lwakata yani siku moja na pipi unagawa
Bebii pole mwaego, Naamini mlitumia condom.

Next time omba ushauri kwangu kabla hujatoa namba za simu.

babu,ina maana ww bila kupewa naniliu namba yako hutoi? aisee,umenifundisha kitu muhimu sana!
Bebii pole mwaego, Naamini mlitumia condom.

Next time omba ushauri kwangu kabla hujatoa namba za simu.

Kamata mwizi bab,..Huyo ni jambazi la mapenzi ndo maana usiku hapatikan.

wacha bana si mchezo vingekuwa vinapungua kila ukitumia kuna watu wangekuwa hawana tena
Kitu umepewa bure, kwanini ukibanie?

King'asti naomba namba yako ya simu.

wacha bana si mchezo vingekuwa vinapungua kila ukitumia kuna watu wangekuwa hawana tena

Au kingekuwa kinabadili jinsia, midume mingi humu ingeshakuwa mademu siku nyiiiiingi!

khe amekimbia bahati wakati wengine tunaitafuta?

hahaaaa naöna umeanza kuharibu mfungo wangu lol!kwaheri
Au kingekuwa kinabadili jinsia, midume mingi humu ingeshakuwa mademu siku nyiiiiingi!

Inawezekana hata ww ulimwambia upo single Bebii!!

sasa wewe kwanini upige usiku? mwenzio kapumzika wewe unamsumbua

Ukiona wa hivyo ujue msanii.

uliingia kichwa kichwa kuwa makini sana usipime kwa dkk

Wanaume wa .com hawafai kabisa. Tuwaogope kama ukoma.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…