Wanaume wa .com

unapenda vya gizani,..lazma utakua muovu wewe na ndio maana jamaa akashtukia deal
usiku kuna raha yake bana ukiongea mchana makelele mengi

hahaa..!!mia

kupewa namba unahangaika mchana kutwa usiku kucha kumtafuta daaaah...........huyo mwanamke nae wa .com

Wewe ndio umeharibu hapo.

Ulitakiwa kusubiri awe anakutafuta,hapo ungethibitisha kuwa yupo single.

Haraka zako zimekuonesha mwenzio yupo double.

nina wasiwasi hata cku hyo ya pati jamaa aliongea maneno mawili beibii akalegea.. Ucwahii..jifanye bado mgeni,muoga,...mmnnhhh!!

ni mshamba bwana
mkuu kosa ulofanya ni kumfunulia ua kabla hujajua ratiba zake za mchana na usiku.bora hata huyo namba inaita wengine tunablock kabisa simu haziingii wala kutoka.inaonyesha unajua kupenda.humpi hata mda wa kupumua duh!.ulimtisha wanaume hatupendi kubanwa banwa ka mtoto mdogo.na inawezekana kweli yupo single lakini akawa busy na mambo mengine au sehemu anapokaa network inasumbua.ukienda offisini jaribu kuongea nae.mia

wapi nimesema nimempa ua

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…