leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio tatizo la wavulana wa dar yan mmezoea kutafuniwa kila kitu..kama ujaelewa agiza cone ya azam nyonyaMudumu ndiyo nani?
Kwako sisi kwetu kawaida sanaKwa usawa wa magufuri 150k ni sawa na 2M kwa enzi za kikwete mamaee
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah! Hyo pesa kwa matumizi tulio ipangia kuiita burungutu hatukukusea mkuuSema Arifu umenichekesha sana eti "tumechanga burungutu la pesa"
pesa yenyewe laki na nusu lol
laki nayo ni burungutu hahahaha
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh kwa huo msosi pamoja na izo faru John angekuwa mwanaume wa daslam tayar angeshajinyea arifu si mchezo asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake kuandika tu hujuiHili ndio tatizo la wavulana wa dar yan mmezoea kutafuniwa kila kitu..kama ujaelewa agiza cone ya azam nyonya
young kilimanjaro
Hii hela walizo zichanga ni nyingi kwa upande wao ila kwa mwanaume kujisifia kwa hiyo hela hapana maana hiyo ni ni yakutumia siku moja tu ukiwa unataka kujua jiji vizurSema Arifu umenichekesha sana eti "tumechanga burungutu la pesa"
pesa yenyewe laki na nusu lol
laki nayo ni burungutu hahahaha
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Ni kawaida ila inategemea unataka ife kwa matumizi yapiKwako sisi kwetu kawaida sana
Sasa bro, maisha kua juu na ushamba mbona ni vitu viwili tofauti??? lolHii hela walizo zichanga ni nyingi kwa upande wao ila kwa mwanaume kujisifia kwa hiyo hela hapana maana hiyo ni ni yakutumia siku moja tu ukiwa unataka kujua jiji vizur
Kuhusu ushamba wa wanaume wa dar mi naona hiyo tuhuma ni kweli maana inaonekana dar chakula ni shida hasa ukiwa na uchumi usio eleweka maana kila kitu cha kununua hapo ndo mtu anaamua ale mhogo mmoja na anywe maji mengi ili kujiokoa asife
Umeongea ya msingi. Mimi nilimuona wa kuja aliposema walijikusanya na sh 150,000/-!Tatizo umri wako bado mdogo sana. Miaka 29 unaona sifa kuua maini yako ili uonekane mbobezi wa pombe. Wenzio wana kunywa lite beer sababu ya kupunguza matatizo ya maini pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu unatoa pooovu! Kwani ulitaka tuje na ngapi labda? laki3 mtu mbili tena kula tu siyo ya kispot! Hii mwanaume Wa dar kama kula tu anatoboa mieziYani hyo 150k mlienda dar kuspend? Na umeona mmejichanga haswa? Pumbavu.. Japo wanaume wa dar ni magumash ila nyie mmezid