Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

Sema Arifu umenichekesha sana eti "tumechanga burungutu la pesa"
pesa yenyewe laki na nusu lol
laki nayo ni burungutu hahahaha


Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hii hela walizo zichanga ni nyingi kwa upande wao ila kwa mwanaume kujisifia kwa hiyo hela hapana maana hiyo ni ni yakutumia siku moja tu ukiwa unataka kujua jiji vizur

Kuhusu ushamba wa wanaume wa dar mi naona hiyo tuhuma ni kweli maana inaonekana dar chakula ni shida hasa ukiwa na uchumi usio eleweka maana kila kitu cha kununua hapo ndo mtu anaamua ale mhogo mmoja na anywe maji mengi ili kujiokoa asife
 
Yaaan kujimek kooote kumbe bajet ni 150k duuuh!!?
Yaan nkibakiwa na hyo pesa natulia zng tu hom maana hata confidence huwa inapungua
 
Nyc agenda ,,
habarin wadau , let me say some thing on that ,
swala zima la kula ,nikimanixha kidogo ama xana ,,(plenty or allittle food) ipo katika nyanja mbalimbali ,,
1. Kazi unayo fanya
2. Muda tumbo kukaa waz kutoka mlo mmj ad mwingine
3. Mazoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hyo 150k mlienda dar kuspend? Na umeona mmejichanga haswa? Pumbavu.. Japo wanaume wa dar ni magumash ila nyie mmezid
 
Sasa bro, maisha kua juu na ushamba mbona ni vitu viwili tofauti??? lol
kumbuka Dar hakuna mashamba ndio maana kila kitu wananunua ila usisahau pia hapa mjini ukilala na njaa umependa coz hadi hela inauzwa... hahahaha

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Tatizo umri wako bado mdogo sana. Miaka 29 unaona sifa kuua maini yako ili uonekane mbobezi wa pombe. Wenzio wana kunywa lite beer sababu ya kupunguza matatizo ya maini pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ya msingi. Mimi nilimuona wa kuja aliposema walijikusanya na sh 150,000/-!
Dar es salaam hii kwa hiyo pesa hata nusu saa haumalizi kwenye starehe za Jiji hili utakuwa unatafuta kibanda cha Tigopesa au ATM ya karibu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani Mbagala sio Dar kwa matusi hayo
 
Yani hyo 150k mlienda dar kuspend? Na umeona mmejichanga haswa? Pumbavu.. Japo wanaume wa dar ni magumash ila nyie mmezid
Sasa mkuu unatoa pooovu! Kwani ulitaka tuje na ngapi labda? laki3 mtu mbili tena kula tu siyo ya kispot! Hii mwanaume Wa dar kama kula tu anatoboa miezi

young kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…