Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

Lol..... itakua unazungumzia wa morogoro ila poa bro kubali kataa Dar ndio mambo yote... unaona vile vijana wanajichanga jus kuja kuiona dar wanaridhika.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Sio moro tu hata huku niliko wanaenda dubai
 
Tulipizungusha laki3 kama siku mbili ya tatu tukarudi zetu om kupalilia miogo yetu.
Subirini tuvune tutarudi kuwahaibisha tena

young kilimanjaro
Wambie hao wamezoea sana ukifika kwenye mabanda ya chips utakuta mwanaume mzima kapiga raba chini pens eti mishikaki 3 ndizi 2 eti anaenda kulala jamani [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha haa! Tofauti ya watu wa Dar na mikoani ni kuwa, watu wa Dar wanatumia akili nyingi hivyo hawahitaji misuli na watu wa mikoani wanatumia misuli hivyo hawahitaji akili nyingi na ndio maana wanakula sana.
ndio maana mnasaidiwa wake zenu

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Wambie hao wamezoea sana ukifika kwenye mabanda ya chips utakuta mwanaume mzima kapiga raba chini pens eti mishikaki 3 ndizi 2 eti anaenda kulala jamani [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

young kilimanjaro
 
A
Aaah!! We nae mshamba wa kiwango cha kina kitefu..sasa ulitaka tuje na milioni kwani ulisikia tulikuja kununua kiwanja!!?

young kilimanjaro
Acha ushamba kwa taarifa yako viwanja vya dar 150,000 nauli na kitimoto hela hiyo cha mtoto wee uliishia uwanja wa fisi ukirudi mikoani koroga muarubaini bakuli tano usije ukamfia mwanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…