Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

Nikajua labda ubgemalizia Uzi kwakuonyesha jinsi ulivyoobdoka na madem watatu na wote ukawakojoza bado tatutatu.maana huo pia ni udhaifu mkuu wa wanadarisalama
 
A

Acha ushamba kwa taarifa yako viwanja vya dar 150,000 nauli na kitimoto hela hiyo cha mtoto wee uliishia uwanja wa fisi ukirudi mikoani koroga muarubaini bakuli tano usije ukamfia mwanao
We nae acha uvivu nenda jukwaa la biashara viwanja dar vipo ad vya laki5 sio lazima dar iwe kariakoo au posta

young kilimanjaro
 
Nikajua labda ubgemalizia Uzi kwakuonyesha jinsi ulivyoobdoka na madem watatu na wote ukawakojoza bado tatutatu.maana huo pia ni udhaifu mkuu wa wanadarisalama
Mkuu hyo ni siri ya ofice [emoji23] [emoji23] [emoji23]

young kilimanjaro
 
Mkuu njoo pm tukikubaliana ntauza ata shamba la uridhi nije dar tuyajenge

young kilimanjaro

kumbe unadharau namna hyo dogo!nimekupa likes mkuu! sasa hilo shamba la 'uridhi' ukiuza si itakuwa balaa ndg yangu!hheehhe

am yo' mama u knw
 
Yani unapanga safari ya kuja kula bata mjini na budget hiyo kweli!rudini mlipotoka aisee!
 
kumbe unadharau namna hyo dogo!nimekupa likes mkuu! sasa hilo shamba la 'uridhi' ukiuza si itakuwa balaa ndg yangu!hheehhe

am yo' mama u knw
Mkuu adui yangu mkubwa ni dharau..samahani kama umenifikiria ivyo

young kilimanjaro
 
Yani unapanga safari ya kuja kula bata mjini na budget hiyo kweli!rudini mlipotoka aisee!
Ulitaka tuje na ngapi labda?
Af anaetakiwa kutuambia turudi ni 'bashite' na sio wewe! SHUBAAMITI!!

young kilimanjaro
 
Viwanja vya maana bajeti ndogo 1M, sasa 150K unawapigia kelele Kaka zangu hapa, wewe Jamaa waombe msamaha.
Acha longo longo wewe unaweza Kula kiti Moto na faru kwa milioni moja? au ulitaka waanze kuwahonga maana ndo zenu hizo.
 
Acha longo longo wewe unaweza Kula kiti Moto na faru kwa milioni moja au ulitaka wanaaze kuwaonga maana ndo zenu hizo.
Mwambie mkuu!! Sisi tulikua na bajeti ya bata na siyo papuchi!!

young kilimanjaro
 
Ha haa! Tofauti ya watu wa Dar na mikoani ni kuwa, watu wa Dar wanatumia akili nyingi hivyo hawahitaji misuli na watu wa mikoani wanatumia misuli hivyo hawahitaji akili nyingi na ndio maana wanakula sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha

Sawa bhana

Mwenzako Joseverest amepagawa na jiji la dar,tangu aje ana wiki sasa hata JF hana hamu nayo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…