Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

Viwanja vya maana bajeti ndogo 1M, sasa 150K unawapigia kelele Kaka zangu hapa, wewe Jamaa waombe msamaha.
Wewe unakula chips yai kwa lite baridi na hao kaka zako pia wanakula chips yai kwa lite baridi!!......Mimi sioni kaka hapo!!
 
Ha haa! Tofauti ya watu wa Dar na mikoani ni kuwa, watu wa Dar wanatumia akili nyingi hivyo hawahitaji misuli na watu wa mikoani wanatumia misuli hivyo hawahitaji akili nyingi na ndio maana wanakula sana.
Unafanana na mtu ambaye hajaenda shule! Mtu anayetumia akili (brain) anahitaji energy kubwa sana
 
Ha ha ha

Sawa bhana

Mwenzako Joseverest amepagawa na jiji la dar,tangu aje ana wiki sasa hata JF hana hamu nayo .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hyu jamaa mimi namjua sanaaa!! Ni mzee wa faida na lazima atujie na ubuyu mtamuuuu!! Kuhusu wavulana Wa dar! We legeza tu.

young kilimanjaro
 
Yaaan kujimek kooote kumbe bajet ni 150k duuuh!!?
Yaan nkibakiwa na hyo pesa natulia zng tu hom maana hata confidence huwa inapungua
We ulitaka tuje na ngapi?
Shasema hatukufuata kiwanja,
Wala papuchi!

young kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…