Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wewe unakula chips yai kwa lite baridi na hao kaka zako pia wanakula chips yai kwa lite baridi!!......Mimi sioni kaka hapo!!Viwanja vya maana bajeti ndogo 1M, sasa 150K unawapigia kelele Kaka zangu hapa, wewe Jamaa waombe msamaha.