Wanaume wa Dar acheni ushamba kwani kipi cha ajabu hapa?

Sasa kunywa Pombe nako sifa ??? Kweli wanadamu watu wa ajabu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa dar wanafanana na dada zao kila kitu uwezo wa kula, kutinda nyusi, kuvaa blauz, kutembea, kuongea kwa mapozi, kujichubua, wengine wanatumwa na wake, dadazao kuchota maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…