Pierina Vicka
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 173
- 290
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume wa dar uyu tayali kaja eti mwanaume mzima umejichanga 150,000/= anaponda 150 ukute analala sebuleni tena kwa dada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumshtua joka gani?
Mbona unacheka sasa lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay
umejuaje ,awa jamaa mdebwedo hatari bora wadaresalama asee
Sasa kunywa Pombe nako sifa ??? Kweli wanadamu watu wa ajabu...Wasalam wakuu!
Ni iv..baada ya kusikia misifa kibao kwa hawa watu Wa 'dar es salam' kuhusu uzuri Wa kijiji chao..tukaona isiwe tabu,tukazichanga Mimi na mwanangu kama mwezi iv..lengo kwenda kusafisha macho na kupunguza ushamba wa kurushwa roho na hawa watu kila wakija huku kijijini
Siku ikafika tukajiandaa na kitita chetu cha mkwanja kila MTU akiwa na burungutu la pesa kama laki na nusu 150000 nje na nauli ya kwenda na kurudi na malazi..
Baada ya kufika dar es salaam kweli kuna vingi vilituacha mdomo wazi..aisee asikuambie mtu..kwanza kuvuka tu barabara ilikua tatizo kwetu..yale magari yanayofanana cjui ndio mwendo kasi..sasa kuna mabasi mengine mareefu af linakatika katika kama mdudu flan yan..hapa nitoe ongera kwa wana daslam kwa ujasiri..,mimi hule mgari ata kuusogelea nliogopa eroo..! Japo mwanangu akua mgeni wa huu usafiri Wa uma,ilinitoa wasi wasi lakini sikumuelewa kabisa.. siwezi kufa kabla ya wakati arifu!
Sasa niliipo ona hawa wanaume wa dar hatuwaonei kwa kejeli tunazo watupia kutoka mikoani ni pale Mimi na mwanangu tukiwa maeneo ya kujidai ile mida ya kulala Kuku..
Kwanza tumefika sehemu tukaagiza kitimoto rost kilo na nusu ili kuweka tumbo sawa,mudumu Wa vinywaji tukamuagiza faru joni..tukiwa tunamshusha huyo faru ile rost ikawasili
Kabla mudumu hajaondoka tukamwambia atuandalie kilo na nusu nyingine ya kukausha,nikamuona muduma kama kashtu ila akapotezea kafuata maagizo..kumbe hakua mudumu tu ata wanaume waliokua meza za jirani walikua wakitutumbulia mimacho bila sisi kujua sababu..
Tulipo maliza rost na kumalizia na yule faru..tukamuita Dada Wa vinywaji akatuongezie jibapa jingine..limekaribia katikati ile kitimoto ya kukausha ikawasili..hapa ndio wale wanaume Wa meza jirani walipagawa na 'viserenget lite' vyao..tumemaliza tukaongeza jipaba la tatu..aisee wale wanaume Wa dar wakaanza kutuseme cjui walifikir konyagi ishatuziba masikio hatuwasikii..
Mara cjui hawa watatufia hapa..ooh wamelogewa pombe cjui hawataweza nyanyuka..sisi tunalishusha huku tunawasikiliza hawa 'wambea Wa dar' baada ya kumaliza tukaongeza kilo moja ya kurost na Mdogo wake fara joni(ml500)
Na kuwambia watuandalie bili..
Wale wanaume na kiserenget kimoja kinanywewa masaa matatu wameduaa tu ata umbea umewaishia wametulia tulii..! wanatuangalia tu..
Yule mudumu alipo leta bili akapayuka kwa nguvu HAWA NDIO WANAUME SASA..
tukalipa tukanyanyuka tukiwa wazima kama tulivyo kuja, tukawaacha wanaume Wa dar midomo wazi..sisi haoo mwendo mdundo kwenda kulala
Sasa nyie wanaume Wa dar es salaam kama mmezoe kiepe yai na vibia biwili mkizid vi3 tena lite msitake na sisi tufanane na nyie!!
Tena ile kwetu ni kama kupiga kiwe kiatu tu sababu ya uchumi sasa sijui mkitukuta tumeuza miogo mifuko imetuna si mtazimia nyie.
PUNGUZENI USHAMBA!!
young kilimanjaro
Oyooooooooo the village headman himself mkuu nimeenjoy sana uzi wakoTulipizungusha laki3 kama siku mbili ya tatu tukarudi zetu om kupalilia miogo yetu.
Subirini tuvune tutarudi kuwahaibisha tena
young kilimanjaro
Karibu tena mkuuOyooooooooo the village headman himself mkuu nimeenjoy sana uzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya na ile baridi tutawapoteza wote
HahahahahaaahMbeya na ile baridi tutawapoteza wote
young kilimanjaro