Wanaume wa Dar es salaam nao hawako nyuma huko snapchat!

Yaani huyo mburula anaonekana kabisa ana kaushamba ka mkoani. Hapo ndio ametoka kununua simu mnadani alafu akaingia instagram akakutana na pozi za kidada akajua ndio swaga.
 
Snapchat nilitoka ktambo ungese ungese huo siutak...better Twitter master mind only
 
Vitu vingine tuwaachie dadazetu
Kwa hisan Ya jowze
 
Usikute huyo ni mshamba wa mkoani ameinstall Snapchat kwa mara ya kwanza[emoji23][emoji23]
 
Nimecheka sana huyo jamaa alosema ungese ungese huo hauataki daaah
Dar kweli imeshisha ununio.
 
Una kigezo gani cha kusema hao ni wa dar? Umewajuaje? Wana alama?
 
mi binafsi hata instagram ilinishinda sijui tatizo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…