Wanaume wa Dar hamuyaogopi makaburi?

Wanaume wa Dar hamuyaogopi makaburi?

Aisee! Huku mikoani hatuwezi kuweka kilinge juu ya makaburi eti tupige stori unaonekana kichaa ila huko Dar mna moyo kwa kweli mnalala makaburi, mnakaa mnavuta sigara makaburi wengine mpaka mapenzi refer Kinondoni, Makaburini.

Labda pia niseme kwenye majiji hata Arusha pale stand ndogo kuna masela wanalala makaburini usingizi mzuri kabisa na ndio bangi zinavutwa hapohapo, kwa kweli me siwezi michezo hiyo.
Hakuna sehemu salama kama makaburini
 
We unazungumzia kuweka kilinge cha soga kitu ambacho hata wewe ukienda zika unafanya, Kuna makaburi ya kinondoni pale juu kabla ya kuzungushiwa ukuta, enzi hizo watu walikuwa wanakamata CD na kwenda mshikisha msalaba, wanaita kuendesha pikipiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom