Wanaume wa Dar huogopwa zaidi na wanaume wa Mikoani

Kwamba mwanaume wa Dar hapati tabu kutongoza, pia anakaribishwa mikoani kama mzungu katoka ulayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€, hakika lazima nije Dar nami nikirudi huku kibiti nichakate hizi mbususu.
 
Leo Mkono wa Robert Heriel umechemsha.

Moja ya watu ambao huwa siwaogopi ni wanaume wa Dar, maana wengi wao ni wazuri kwenye porojo na siyo kwenye vitendo.

Ukitaka kufanya Jambo la kushirikiana hususani kwenye fursa fulani, mtumie mtu wa mkoani ili kuepusha janjajanja za kijinga.
 
Mkuu sikujua mshamba hivi, sasa mwanaume wa London atasemaje?

Yule mwanaume wa New York kesha kuita shithole!
 
Acha nikajenge hata msing nirudi Happ Happ mnk kweli dar uhakika Sana na pesa ziko nnje sana
 
Wakati wanaume wa mikoani wanawaza kwenda Dar,wakati huo wanaume wa Dar wanawaza kwenda nje ya nchi yaani mambele.

πŸ˜€πŸ˜€
 
Nimekuelewa hapa tu...


"...wakati wanaume wa mikoani huyafurahia maisha zaidi ya wanaume wa mikoani nyakati za uzee kwani wengi huwa na angalau vijumba mshenzi vya kujistiri huku wanaume wa Dar wakiwa hawana lolote".

FAINALI UZEENI
Watu wameshindwa kumuelewa mtoa mada
 
Wanaume wa dar wakija arusha tunawapa frame wauze chips, machinga, Konda au madalali wa sokoni maana wamejaaliwa mdomo wa kuongea na uswahil mwing alaf wachuga tunakaa pemben wachangamshe genge
 
Dunia ya leo ni yakutumia akili nyingi kuliko nguvu ni washamba tu ndio hutumia nguvu nyingi na kuchosha mwili bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…