Wanaume wa Dar jiandaeni na aibu ya kutelekeza watoto

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,883
Reaction score
14,600
Wadau sote tunajua kuwa Mzee wa Kolomije anatangazia Umma wa WanaDaaslam kufika Ofisin kwake kutoa taarifa ya Wanaume waliotelekeza Watoto. Tujiandae Kisaikolojia ikiwezekana hata kuyamaliza kabla hujadhalilishwa kwenye Media. Wanaume wenzangu wa Dar tuache kukwepa majukumu tulee damu zetu. Moja Ndugu zangu kutoka Lake Zone hamtabaki salana maaana mkifika Dar mnapiga migegedo ya hatari kutokana na kukuta vimwana weupeeee ambao hamjawahi ona. PILI Ndugu zangu wa Umachingani nanyi mnatisha kwa kunyapia na kuimbisha kamwe demu huwa hapindui. Tatu ndugu zangu Wapare hamkosei target ingawa shida yenu ni kutoa huduma. Jipangeni kisaikolojia na aibu ya mwaka, hakwanan Mtaisoma namba mpaka mrudi Kijijin. Tunaisubir TOP TEN ya wadau wa Kutelekeza Watoto.
 
Ikiwa kweli zile dharau zote kwa Single mother zitakwisha sasa , maana wenye dharau wengi ndio watelekezaji.
 
Ila Wanawake nanyi Punguzeni kuwageuza watoto kama Vitega uchumi, mnatuumiza jamani! Somtym mimba yenyewe ulimtegeshea mwisho wa siku sasa inageuka kuwa sooo. Acheni hizo
 
Ila Wanawake nanyi Punguzeni kuwageuza watoto kama Vitega uchumi, mnatuumiza jamani! Somtym mimba yenyewe ulimtegeshea mwisho wa siku sasa inageuka kuwa sooo. Acheni hizo
Niliwahi...kuwa naorodheshewa...mahitaji ya laki 2 kila week...kumbe mtu kajaza nduguze kwake anawalisha na kulipia ada kupitia posho ya 2 kila week.
Nikaenda cortin...nikapewa mtoto nikamsafirisha....pasipojulikana dogo sasa ni form1
 
Mkuu bora ulilijua hilo mapema kuna wanawake ni mafia sana. Kuna wale mtoto mmoja ana kadi za Kliniki tatu na kila kadi na babake na wote wanapigwa kwa mida tofauti.
 
Mapenzi ayalazimishwi....tutegemee Murder case maana kuna wanawake watauliwa kwa kutaka kuwapachika wanaume watoto kwa kupitia. mgongo wa bashite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…