Wadau sote tunajua kuwa Mzee wa Kolomije anatangazia Umma wa WanaDaaslam kufika Ofisin kwake kutoa taarifa ya Wanaume waliotelekeza Watoto. Tujiandae Kisaikolojia ikiwezekana hata kuyamaliza kabla hujadhalilishwa kwenye Media. Wanaume wenzangu wa Dar tuache kukwepa majukumu tulee damu zetu. Moja Ndugu zangu kutoka Lake Zone hamtabaki salana maaana mkifika Dar mnapiga migegedo ya hatari kutokana na kukuta vimwana weupeeee ambao hamjawahi ona. PILI Ndugu zangu wa Umachingani nanyi mnatisha kwa kunyapia na kuimbisha kamwe demu huwa hapindui. Tatu ndugu zangu Wapare hamkosei target ingawa shida yenu ni kutoa huduma. Jipangeni kisaikolojia na aibu ya mwaka, hakwanan Mtaisoma namba mpaka mrudi Kijijin. Tunaisubir TOP TEN ya wadau wa Kutelekeza Watoto.