Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Sio kwamba nina beef na wanaume wa dar hapana sina bifu nao kabisa lakin sema hawa jamaa wanatuabisha sana wanaume wa mikoan
Kwa sasa imefika hatua hawa watu wanaolewa na wanawake tena bila aibu kabisa mtoto wa kiume unaolewa na mwanamke? Hii ni kwa dar peke yake
Yule ostaz wa din ya kisilam ostaz uchebe ambaye ni mwanaume wa dar kuchapwa makofi hadhalan na shilole ni kitu kibaya sana hiki kwa wanaume wa dar
Wanaume wa dar badiliken bhana utaolewaje na mwanamke bhana
Sasa hii aibu ya kuchapwa makofi na wanawake waliowoa mtaificha wapi nyie
Pambanen muache kutegemea madem
LONDON BABY