Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa shogaake baby....Tulia ww sindano ikuingie,mkiambiwa ukweli basi mapovu yanawatokaaa aiseee kama vp embu achana na huyo mraya anaekulelea hapo
Hata usemajee ila hauwezi kubadili ukweli kuhusu wanaume wa darSawa shogaake baby....
hapana...We ushaona "mwanaume" anapenda kuitwa "Baby"?
hapana...We ushaona "mwanaume" anapenda kuitwa "Baby"?
Sijabisha ...mbona una mashaka we shogaake baby?Hata usemajee ila hauwezi kubadili ukweli kuhusu wanaume wa dar
Haya mwanaume wa Darisalama chips mayai ndio zenu...na maneno yenu hayo ya kwenye kanga tumeyazoea ila ukweli utabaki kuwa ukweli...Sijabisha ...mbona una mashaka we shogaake baby?
Sawa shogaake baby...Haya mwanaume wa Darisalama chips mayai ndio zenu...na maneno yenu hayo ya kwenye kanga tumeyazoea ila ukweli utabaki kuwa ukweli...