Wanaume wa Dar mnapenda kunywa pombe laini.

Wanaume wa Dar mnapenda kunywa pombe laini.

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kuna bar hapa mbezi nimekuja na jamaa angu,kila mwanaume ninaemuona kashikilia savanna,Flying fish au Serengeti light.
Acheni kunywa pombe za wadada bana
 
Kuna bar hapa mbezi nimekuja na jamaa angu,kila mwanaume ninaemuona kashikilia savanna,Flying fish au Serengeti light.
Acheni kunywa pombe za wadada bana
😀😀😀😀😀😀daah
 
Ndio maana wengi Wanaviriba tumbo.
 
Wakati naandika hii comment nipo bar ya jirani na home nacheki game ya aseno dhidi ya liver. Mbele yangu kuna serengeti lite baridiiii. Watoto n wife wapo home wanacheki tamthilia zao wanazozipenda wakisubiri mshua mimalize kucheki game na wana then niwabebe kitimoto wakale na chips atakazokaanga mama yao home.

Sasa ni hivi wewe wakupita njia. Hapa mjini kuishi ili kumaliza siku kwa mafanikio inahitajika akili ichangamke kweli kweli na iwe sober kwa muda wote. Hizi pombe tunazokunywa sisi sio kwa ajili ya kuikomoa akili na mwili. Hatunywi tu ili mradi tilewe no, bali ili tuinjoi huku akili na mwili bado vikiendelea kuwa fiti ili kesho tuamke tukiwa fresh kimwili, kiakili na hata kiroho kwa ajili y kuendelea na mishe za town..

Kwanini unywe pombe huku unakunja sura? Kwa nini unywe pombe ambazo zinachosha mwili na akili, kesho utapigaje mishe? Halafu hizi pombe ili ulewe unahitajo unywe nyingi, so ni mtindo tu wa maisha kuonyesha mjini pesa sio ishu, ishu ni kuwa na akili za kuipata hiyo pesa. Shibaaamit
 
Hizo huku Arusha hazipo. Labda zipi mahospitali kwa ajili ya wagonjwa
 
Kwa hili Joto la Dar siyo salama sana kunywa mipombe mikali mikali mkuu..

Acha tu wanywe hizo Bia laini wajiokoe nafsi zao.
 
Hapo nawatetea hata Mimi sitaki pombe Kali napiga castle light ni kidume Cha mkoani safari inaniumiza aise
IMG_20230409_125345_HDR.jpg
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Hivi Kwanini Matangazo ya Castle Lite na Serengeti yanakuwa ya Kingereza
 
Kuna bar hapa mbezi nimekuja na jamaa angu,kila mwanaume ninaemuona kashikilia savanna,Flying fish au Serengeti light.
Acheni kunywa pombe za wadada bana
Usiwapangie maisha jamani acheni wanywe wewe unataka wanywe k vant wakienda nyumban wanyimwe denda kisa wananuka k vant
 
Unataka wanywe pombe ambazo wanakunywa huku wanakunja sura ili iweje! Kunywa spirit siyo ujanja
 
Back
Top Bottom