Wanaume wa Dar mnatia hasira

Nyie ci mmegeuza ulimi ndo dusheee,chini apafanyi kazi tena na ndio maana matangazo ya nguvu za kiume yamekuwa official daslam
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntakutafuta ww subiri tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume mchafu kupata demu mzuri ni ngumu
 
Namkumbuka marehemu Abel Motika katika mi mmasai bhana.Saridalama kila mutu yuko bise hata kama ni jobless.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntakutafuta ww subiri tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume mchafu kupata demu mzuri ni ngumu
Kutuvalia nguo za kubana mata**..kunyoa vduku na kuachia virasta kwa juu,sweta mchana,kofia,miwani ndo usafi unaomaanisha ww
 
Wanaume wa dar kweli mmetia aibu kwa hili
 
ha ha ha ha we unategemea kaoge atamsaidia mtu??? wengi wana six part ila ni kwa ajili ya mapambo tu .
 
Reactions: MC7
sasa mkuu mleta maada unategemea mwanaume kama huyu anaanzaje kwa mfano!!!
Mkuu mwingine huyu[emoji116]
hawa wanashindwa kujisaidia na kusaidiana wenyewe wanaposumbuliwa na hao mateja sasa wamebakia kuomba msaada kwa Makonda wakati vitu vidogo kama hivo wangevimaliza wenyewe kitaa!
 
Na ww umwambie bwana ako aache kuwa laini laini,tumechoka kuwasaidia..
Ulaini wao ndo tunaoupenda nani anashinda na mwanaume kakomaa kila sehemu, huo ukomavu wenu tutawatumia kwa ulinzi na uboardguard , Na kutullimia mashamba yetu.
 
Reactions: MC7
Ulaini wao ndo tunaoupenda nani anashinda na mwanaume kakomaa kila sehemu, huo ukomavu wenu tutawatumia kwa ulinzi na uboardguard , Na kutullimia mashamba yetu.
Muache sas kuwasaliti kwa ksngzio cha ulaini wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…