Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 12,325
- 38,203
Toba!!![emoji134]sasa mkuu mleta maada unategemea mwanaume kama huyu anaanzaje kwa mfano!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toba!!![emoji134]sasa mkuu mleta maada unategemea mwanaume kama huyu anaanzaje kwa mfano!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntakutafuta ww subiri tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume mchafu kupata demu mzuri ni ngumuNyie ci mmegeuza ulimi ndo dusheee,chini apafanyi kazi tena na ndio maana matangazo ya nguvu za kiume yamekuwa official daslam
Kutuvalia nguo za kubana mata**..kunyoa vduku na kuachia virasta kwa juu,sweta mchana,kofia,miwani ndo usafi unaomaanisha ww[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntakutafuta ww subiri tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume mchafu kupata demu mzuri ni ngumu
Hahahahah..kumbe WA wap mkuuWee ntake radhi mie sio wa dar
Na ww umwambie bwana ako aache kuwa laini laini,tumechoka kuwasaidia..Hebu wapumzisheni hao wanaume wa Dar na nyie wa mikoani mwache kuja DAR kufanya uhalifu kwa kisingizio cha kuja kutafuta maisha, mkikwama mnaanza uhalifu.
Tukio linafanyika wao wamekazana kupiga cm police.Hawa jamaa hovyo Sana (In tundu lisu voice)Sasa hilo la mtu kukabwa hadi kung'olewa macho nalo mnaangalia tu bila kufanya lolote eti mnasubiri Polisi waje?,unazijua foleni za Dar au unazisikiaga tu?Huo ni ujinga kama siyo uoga.
Duuh..sasa mkuu mleta maada unategemea mwanaume kama huyu anaanzaje kwa mfano!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mbavu zangusasa mkuu mleta maada unategemea mwanaume kama huyu anaanzaje kwa mfano!!!
Vitoto vyaokwani panya road wao ni wanaume wa mkoani?
Wacha walugaluga wajibizane wenyewe.Hahahaha wanaume wetu wa dar mbona hamjibu
Mkuu mwingine huyu[emoji116]sasa mkuu mleta maada unategemea mwanaume kama huyu anaanzaje kwa mfano!!!
pole mkuu.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mbavu zangu
Ulaini wao ndo tunaoupenda nani anashinda na mwanaume kakomaa kila sehemu, huo ukomavu wenu tutawatumia kwa ulinzi na uboardguard , Na kutullimia mashamba yetu.Na ww umwambie bwana ako aache kuwa laini laini,tumechoka kuwasaidia..
vitoto vimezaliwa na baba zao wa mkoani?Vitoto vyao
Kwa sababu wanaume WA Dar Hanna uwezo.Dushee zimeamia mdomonvitoto vimezaliwa na baba zao wa mkoani?
hahahh haya bhanaKwa sababu wanaume WA Dar Hanna uwezo.Dushee zimeamia mdomon
Muache sas kuwasaliti kwa ksngzio cha ulaini waoUlaini wao ndo tunaoupenda nani anashinda na mwanaume kakomaa kila sehemu, huo ukomavu wenu tutawatumia kwa ulinzi na uboardguard , Na kutullimia mashamba yetu.