Wanaume wa Dar mnatia hasira



DAR HAKUNA MWANAUME, WOTE NI WANAWAKE. Wamezaliwa wanaume lakini kichwani wanawake,
 
Hahaaaa, we jamaa upate hicho cheti uondoke maana hata mwandiko umeanza kuandika kama wanaume wa dar.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani wanaume wa dar wanaandikaj?
 
Nyinyi wanaume wa mikoani mbona mnaogopa wazee wenye macho mekundu sisi hatusemi kitu.[emoji15]
 
Wamebakia na wimbo huohuo kila uchao... "wanaume wa Dar" ndo habari ya washambani. Wanatamani waone mabasi ya mwendokasi lakini uwezo hawana... matongotongo bado yamewajaa machoni. Ujanja kwao ni kuchungulia matako ya ng'ombe na mbuzi. Vikwapa vinaachia harufu ya shombo la samaki.... Khaaa
 
Mkuu pov linakutoka km umenyweshwa masabuni ya unga..
 
Kuna best angu kaenda dar bhana anaogopa kuagiza ugali, teh eti meza zote watu wanapiga viepe.
Cc: naan ngik-kundie
Huyo best wako katahiriwa au bado si rizki?
 
Smartphone zimefika mashambani, hata ukijibu unapoteza muda bure tu. Wachunga mbuzi wana muda sana wa mipasho.
Pov la mwanaume WA Dar.Mda WA kubadilika mnao,anzeni leo
 


Watu wa mbeya wanamfahamu mbabe mmoja alikuwa anaitwa jombi sijui nako kule ni dar?
 
Watu wa mbeya wanamfahamu mbabe mmoja alikuwa anaitwa jombi sijui nako kule ni dar?
Hawa wa mashambani tangu waliwe tigo na watoto wa mjini kila siku wanapeleka vilio vyao kwa wanaume wa mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…